Max Weber : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: kk:Макс Вебер |
|||
(marekebisho 21 ya kati na watumizi wengine 15 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
[[Picha:Max Weber 1894.jpg|thumb|200px|Max Weber mnamo [[1894]].]]
'''Maximilian Carl Emil Weber''' ([[21 Aprili]] [[1864]] – [[14 Juni]] [[1920]]) alikuwa [[mwanasheria]] na [[mtaalamu]] wa [[siasa]] na [[sayansi ya jamii]] nchini [[Ujerumani]].
== Maisha ==
Alisoma [[sheria]], [[uchumi]], [[falsafa]] na [[historia]] kwenye vyuo vikuu vya [[Heidelberg]], [[Berlin]] na [[Göttingen]].
Mwaka [[1889]] alichukua [[cheo]] cha [[dokta]] wa sheria kwenye [[chuo kikuu]] cha Berlin.
Akaendelea kuwa [[profesa]] wa uchumi huko [[Freiburg]] na tangu mwaka [[1897]] kwenye [[Chuo Kikuu cha Heidelberg|chuo kikuu cha Heidelberg]].
Mwaka [[1889]] aliondoka kwenye chuo kikuu kutokana na [[ugonjwa]], akaendelea kuhariri [[gazeti]] la [[sosholojia]] na kuandika [[Kitabu|vitabu]].
Baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] alikuwa mshauri wa [[serikali]] ya Ujerumani kwenye [[majadiliano]] kwa ajili ya [[mkataba wa Versailles]] na ndani ya Ujerumani alikuwa kati ya waanzilishi wa [[chama]] huria cha [[demokrasia]].
Mwaka [[1919]] alianza kufundisha tena kwenye chuo kikuu lakini mwaka [[1920]] alifariki [[dunia]].
== Maandishi ==
Weber aliandika mengi kuhusu uchumi, [[utawala]], siasa na [[dini]].
Kati ya maandiko yaliyokuwa mashuhuri hasa ni "[[Maadili]] ya Kiprotestanti na [[roho]] ya [[ubepari]]" (Die protestantische Ethik und der 'Geist' des Kapitalismus). Humo alitoa [[hoja]] ya kuwa [[Uprotestanti]], hasa kadiri ya [[Yohane Kalvini]], ulisababisha wafuasi wake kubana matumizi ya [[fedha]] kwa maisha tajiri na kuridhika maisha ya wastani hata kama wamefaulu kiuchumi. Maadili hayo yaliwawezesha kukusanya [[rasilimali]] iliyokuwa msingi muhimu kwa [[mapinduzi ya viwandani]].
Pia [[imani]] ya kutisha katika [[uteule]], iliyodai [[utajiri]] ni [[baraka]] ya [[Mungu]] unaoashiria kuwa mhusika ataokoka [[milele]], iliwafanya waamini hao wajitahidi kupata mali ili wajisikie salama mbele ya [[hukumu ya mwisho]].
Kwake ndiyo mambo yaliyochangia kuhamishia Kaskazini mwa [[Ulaya]] (ulikoenea Uprotestanti) [[usukani]] wa uchumi kutoka nchi za Kusini zilizobaki katika [[Kanisa Katoliki]].
== Viungo vya nje ==
===Maandishi ya Weber===
* [http://www.zeno.org/Soziologie/M/Weber,%20Max Maandiko yake kwa Kijerumani]
* [http://www.uni-potsdam.de/u/paed/Flitner/Flitner/Weber/index.htm Maandiko yake kwa Kijerumani] {{Wayback|url=http://www.uni-potsdam.de/u/paed/Flitner/Flitner/Weber/index.htm |date=20020207003432 }}
* [http://www.ne.jp/asahi/moriyuki/abukuma/weber_texts.html
* [http://www.cpm.ehime-u.ac.jp/AkamacHomePage/Akamac_E-text_Links/Weber.html
* [http://www.sociosite.net/topics/weber.php
* [http://ssr1.uchicago.edu/PRELIMS/Theory/weber.html English translations of many of Weber's works, merged into one very long unformatted file] {{Wayback|url=http://ssr1.uchicago.edu/PRELIMS/Theory/weber.html |date=20040210101459 }}
* [http://www.marxists.org/reference/archive/weber/index.htm Max Weber Reference Archive]
===Kuhusu Weber
* [http://cepa.newschool.edu/het/profiles/weber.htm Biography entry and link section] {{Wayback|url=http://cepa.newschool.edu/het/profiles/weber.htm |date=20061206002953 }}
* [http://www.ualr.edu/jdrobson/idealtype.htm Weber on Ideal Types] {{Wayback|url=http://www.ualr.edu/jdrobson/idealtype.htm |date=20070227135120 }}
* [http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBRPER.HTML Max Weber – The person] {{Wayback|url=http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBRPER.HTML |date=20111111052626 }}
* [http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBERW3.HTML More of Weber on Ideal Types] {{Wayback|url=http://media.pfeiffer.edu/lridener/DSS/Weber/WEBERW3.HTML |date=20111111061817 }}
* [http://www.criticism.com/md/weber1.html An essay on Max Weber's View of Objectivity in Social Science]
* [http://www.humanities.mq.edu.au/Ockham/y64l10.html Max Weber: On Capitalism As above, but on capitalism] {{Wayback|url=http://www.humanities.mq.edu.au/Ockham/y64l10.html |date=20120521004510 }}
* [http://socserv2.mcmaster.ca/soc/courses/soc2r3/weber/weberidx.htm Some of Weber concepts in the form of a list] {{Wayback|url=http://socserv2.mcmaster.ca/soc/courses/soc2r3/weber/weberidx.htm |date=20060909161957 }}
* [http://www.faculty.rsu.edu/~felwell/Theorists/Weber/Whome.htm Max Weber's HomePage "A site for undergraduates"] {{Wayback|url=http://www.faculty.rsu.edu/~felwell/Theorists/Weber/Whome.htm |date=20110307133502 }}
* [http://mises.org/journals/jls/18_1/18_1_1.pdf Mises versus Weber on Bureaucracy and Sociological Method] by William P. Anderson
{{mbegu-mwanasayansi}}
{{BD|1864|1920|Weber, Max}}
[[Jamii:Wanasayansi wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wanafalsafa wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wanahistoria wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wanauchumi wa Ujerumani]]
[[
|