17 Novemba
tarehe
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Novemba ni siku ya 321 ya mwaka (ya 322 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 44.
Matukio
hariri- 1869 - Mfereji wa Suez unafunguliwa
Waliozaliwa
hariri- 1749 - Nicolas Appert, mpishi kutoka Ufaransa
- 1902 - Eugene Wigner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 1922 - Stanley Cohen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1986
- 1987 - Kat DeLuna, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1231 - Mtakatifu Elizabeti wa Hungaria, malkia mdogo Mfransisko nchini Ujerumani
- 1301 - Mtakatifu Gertrudi wa Thuringia, bikira wa Ujerumani
- 1634 - Mtakatifu Jordano Ansalone, O.P., padri kutoka Italia na mfiadini nchini Japani
- 1990 - Robert Hofstadter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961
- 2000 - Louis Neel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elizabeti wa Hungaria, Gregori mtendamiujiza, Alfayo na Zakayo, Asisklo, Aniani wa Orleans, Namasi wa Vienne, Gregori wa Tours, Hilda wa Whitby, Florino, Lazaro wa Konstantinopoli, Hugo wa Novara, Hugo wa Lincoln, Yohane wa Castillo, Jordano Ansalone, Thoma Hioji n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |