1931
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1927 |
1928 |
1929 |
1930 |
1931
| 1932
| 1933
| 1934
| 1935
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1931 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 20 Januari - David Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 1 Februari - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
- 18 Februari - Toni Morrison, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1993
- 22 Machi - Burton Richter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976
- 26 Mei - Sven Delblanc, mwandishi kutoka Uswidi
- 31 Mei - Robert Schrieffer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1972
- 3 Juni - Raul Castro, rais wa nchi ya Kuba (tangu 2006)
- 15 Agosti - Richard Heck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2010
- 19 Agosti - Marianne Koch, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 23 Agosti - Hamilton Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- Septemba - Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
- 19 Septemba - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Septemba - James Cronin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980
- 7 Oktoba - Askofu Desmond Tutu
- 4 Novemba - Cleopa David Msuya, Waziri Mkuu wa Tanzania (1980-83 na 1994-95)
- 15 Novemba - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya
- 25 Desemba - Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki aliyekuwa askofu mkuu wa Nairobi wa kanisa katoliki
bila tarehe
- Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
hariri- 7 Januari – Edward Channing, mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1926
- 26 Februari - Otto Wallach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1910
- 8 Aprili - Erik Axel Karlfeldt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1931
- 9 Mei - Albert Abraham Michelson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1907
- 12 Julai - Nathan Söderblom, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930
Wikimedia Commons ina media kuhusu: