Evagri wa Konstantinopoli

Evagri wa Konstantinopoli (alifariki 380) alikuwa askofu wa Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, kwa muda mfupi katika mwaka 370[1] hadi alipofukuzwa na kaisari Valensi aliyeunga mkono Uario[2].[3].

Mpaka kifo chake alishuhudia imani sahihi kwa namna bora.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu kale kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Machi[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Eusebi wa Kaisarea, Hist. Eccl., The Ariansordain Demophilus after the Death of Eudoxius at Constantinople; but the Orthodox Party constitute Evagrius his Successor. [1]
  2. Eusebi wa Kaisarea, Hist. Eccl., vol IV, ch. 15: The Emperor banishes Evagrius and Eustathius. The Arianspersecute the Orthodox. [2]
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/44040
  4. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.