Mississippi ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mukubwa ni Jackson. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,938,618 (2008) wanaokalia eneo la 125,443 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Tennessee, Alabama, Louisiana na Arkansas. Upande wa kusini imepakana na maji ya Ghuba ya Meksiko, magharibi mwa mto Mississippi.

Sehemu ya Jimbo la Mississippi








Mississippi

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Jackson
Eneo
 - Jumla 125,434 km²
 - Kavu 121,488 km² 
 - Maji 3,945 km² 
Tovuti:  http://www.mississippi.gov/

Viungo vya Nje

hariri

Tovuti Rasmi ya Jimbo la Alabama

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mississippi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.