Moyale
Moyale ni mji wa mpakani: sehemu kubwa iko upande wa Ethiopia, na ile ndogo upande wa Kenya katika kaunti ya Marsabit.
Moyale | |
Mahali pa mji wa Moyale katika Kenya |
|
Majiranukta: 3°32′0″N 39°3′0″E / 3.53333°N 39.05000°E | |
Nchi | Ethiopia, Kenya |
---|---|
Kaunti | Marsabit |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 37,387 |
Wakazi upande wa Kenya walikuwa 37,378 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Tanbihi
hariri- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Moyale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Moyale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |