Nenda kwa yaliyomo

Siasa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: hy:Քաղաքականություն
d Protected "Siasa" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
 
(marekebisho 39 ya kati na watumizi wengine 24 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:ElezioneMilano.jpg|thumbnail|right|280px|Kampeni za kisiasa nchini [[Italia]].]]
'''Siasa''' ni njia ya kufanya [[maamuzi]] katika [[taifa]], [[mji]] au hata [[dunia]] mzima ([[siasa ya kimatatifa]]). Sehemu muhimu ya siasa ni [[majadiliano]] kati ya watu mbalimbali wenye [[nguvu]] au [[mamlaka]].
'''Siasa''' ni njia ya kufanya [[maamuzi]] katika ngazi mbalimbali za [[jamii]], kama vile [[mji]], [[taifa]], au hata [[dunia]] nzima ([[siasa ya kimataifa]]).


Sehemu muhimu ya siasa ni [[majadiliano]] kati ya [[watu]] mbalimbali wenye [[nguvu]] au [[mamlaka]].
Katika [[dekokrasia]] kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, na kwa hiyo siasa ya demoskrasia ina maana ya watu wote kujadiliana kuhusu maamuzi.


Katika [[demokrasia]] kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote kuchangia maamuzi.
Hapo chini, mifumo mingine ya kisiasa huelezwa kifupi:


Hapa chini, mifumo mbalimbali ya kisiasa huelezwa kifupi:
* '''Utawala wa Kifalme''' ni mfumo wa kiuongozi unaompa mamlaka ya dola na serikali Mfalme. Katika mfumo huu madaraka hurithiwa na familia ya kifalme.
* '''Utawala wa Kiimla''' ni mfumo wa kiuongozi unaotoa madaraka yasiyo na mipaka kwa kiongozi. Katika utawala huu watu binafsi hawana haki na uhuru wa kimaamuzi.
* '''Utawala finyu''' ni mfumo unaowapa wachache nguvu za maamuzi katika dola na serikali.Nafasi ya wachache hawa hutokana na haiba na uwezo wao kiuchumi, kijamii, kijeshi au kutokana na mafanikio yao katika nyanja mbalimbali za maisha. Mfumo huu ni nadra sana katika siku za hivi karibuni. Pia waweza kuitwa utawala wa makabaila.
* '''Utawala wa Umma''' ni utawala unaotokana na jamii kuamua misingi ya kujiongoza. Mfumo huu wa utawala hujulikana kama Utawala wa Kidemokrasia na umegawanyika katika sehemu nne.
* '''Demokrasia Baguzi''' ni aina ya Demokrasia inayojikita katika kulinda nguvu za kiuchumi zaidi.
* '''Demokrasia Duni''' ni aina ya demokrasia inayotokana na makundi ya watu na kisha kupitia makundi hayo watu kuunda serikali mf- chama - serikali.
* '''Demokrasia Endelevu''' ni aina ya demokrasia inayotoa fursa ya usawa na kupinga matabaka katika jamii.
* '''Demokrasia Shirikishi''' - Katika aina hii ya Demokrasia wachache hupewa dhamana na wengi katika uwakilishi wa jamii katika maamuzi.
* '''[[Demokrasia]]''' ni mfumo unatoa fursa ya madaraka kwa umma moja kwa moja au kutokana na kuwakilishwa.


==Utawala wa Kifalme==
{{mbegu-siasa}}
ni mfumo wa uongozi unaompa mamlaka ya [[dola]] na ya [[serikali]] [[Mfalme]]. Katika mfumo huu [[madaraka]] hurithiwa na mtu wa [[familia]] ya kifalme.


==Utawala wa Kiimla==
[[Jamii:Siasa|*]]
ni mfumo wa uongozi unaotoa madaraka yasiyo na mipaka kwa [[kiongozi]]. Katika utawala huu watu binafsi hawana [[haki]] na [[uhuru]] katika maamuzi.

==Utawala finyu==
ni mfumo unaowapa wachache kati ya wengi nguvu za maamuzi katika dola na serikali. Nafasi ya wachache hawa hutokana na [[haiba]] na [[uwezo]] wao ki[[uchumi]], ki[[jamii]], ki[[jeshi]] au kutokana na mafanikio yao katika nyanja mbalimbali za maisha. Mfumo huu ni nadra sana siku za hivi karibuni. Pia waweza kuitwa utawala wa ma[[kabaila]].

==Utawala wa Umma==
ni utawala unaotokana na jamii kuamua misingi ya kujiongoza, hivyo unatoa fursa ya madaraka kwa [[umma]] moja kwa moja au kutokana na kuwakilishwa. Mfumo huu wa utawala hujulikana kama demokrasia na umegawanyika katika sehemu zifuatazo:
===Demokrasia Chama===
ni aina ya demokrasia ya kura. Inashirikisha watu wote kuwa wanachama.

===Demokrasia Baguzi===
ni aina ya demokrasia inayojikita katika kulinda nguvu za kiuchumi zaidi.

===Demokrasia Duni===
ni aina ya demokrasia inayotokana na makundi ya watu na kisha kupitia makundi hayo watu kuunda serikali mfano: [[chama]] - serikali.
===Demokrasia Endelevu===
ni aina ya demokrasia inayotoa [[fursa]] ya [[usawa]] na kupinga ma[[tabaka]] katika jamii.
===Demokrasia Shirikishi===
katika aina hii ya demokrasia wachache hupewa [[dhamana]] na wengi katika [[uwakilishi]] wa jamii katika maamuzi.

Wachache huchaguliwa na wengi kwa njia ya demokrasia huru na haki kwa kufuata Katiba ya nchi hiyo. Mfano: Wa[[bunge]] huwakilisha wananchi wao katika kuleta maendeleo na kuishauri serikali juu ya maendeleo ya nchi.

{{Sayansi}}
{{mbegu-siasa}}


[[af:Politiek]]
[[Jamii:Siasa]]
[[am:ፖለቲካ]]
[[an:Politica]]
[[ar:سياسة]]
[[arz:سياسه]]
[[ast:Política]]
[[az:Siyasət]]
[[ba:Сәйәсәт]]
[[bar:Politik]]
[[bat-smg:Puolitėka]]
[[be:Палітыка]]
[[be-x-old:Палітыка]]
[[bg:Политика]]
[[bm:Politiki]]
[[bn:রাজনীতি]]
[[bo:ཆབ་སྲིད་ཀྱི།]]
[[bpy:রাজনীতি]]
[[br:Politikerezh]]
[[bs:Politika]]
[[ca:Política]]
[[ceb:Politika]]
[[ch:Politika]]
[[ckb:سیاسەت]]
[[co:Pulitica]]
[[cs:Politika]]
[[cy:Gwleidyddiaeth]]
[[da:Politik]]
[[de:Politik]]
[[diq:Siyaset]]
[[el:Πολιτική]]
[[en:Politics]]
[[eo:Politiko]]
[[es:Política]]
[[et:Poliitika]]
[[eu:Politika]]
[[fa:سیاست]]
[[fi:Politiikka]]
[[fiu-vro:Poliitiga]]
[[fr:Politique]]
[[frr:Politiik]]
[[fur:Politiche]]
[[fy:Polityk]]
[[ga:Polaitíocht]]
[[gd:Poileataigs]]
[[gl:Política]]
[[gv:Politickaght]]
[[he:פוליטיקה]]
[[hi:राजनीति]]
[[hif:Rajniti]]
[[hr:Politika]]
[[ht:Politik]]
[[hu:Politika]]
[[hy:Քաղաքականություն]]
[[ia:Politica]]
[[id:Politik]]
[[ie:Politica]]
[[io:Politiko]]
[[is:Stjórnmál]]
[[it:Politica]]
[[ja:政治]]
[[jbo:plajva]]
[[jv:Pulitik]]
[[ka:პოლიტიკა]]
[[kab:Tasertit]]
[[kk:Саясат]]
[[kl:Politikki]]
[[kn:ರಾಜಕೀಯ]]
[[ko:정치]]
[[krc:Политика]]
[[ky:Саясат]]
[[la:Civilitas]]
[[lad:Politika]]
[[lb:Politik]]
[[li:Politiek]]
[[ln:Politíki]]
[[lo:ການເມືອງ]]
[[lt:Politika]]
[[lv:Politika]]
[[mdf:Политиксь]]
[[mg:Politika]]
[[mk:Политика]]
[[ml:രാഷ്ട്രതന്ത്രം]]
[[mn:Улс төр]]
[[mr:राजकारण]]
[[ms:Politik]]
[[mwl:Política]]
[[my:နိုင်ငံရေး]]
[[mzn:سیاست]]
[[nah:Cemitquimatiliztli]]
[[nap:Politica]]
[[nds:Politik]]
[[nds-nl:Politiek]]
[[ne:राजनीति]]
[[new:अरचियल् (सन् १९९७या संकिपा)]]
[[nl:Politiek]]
[[nn:Politikk]]
[[no:Politikk]]
[[nov:Politike]]
[[nrm:Politique]]
[[oc:Politica]]
[[os:Политикæ]]
[[pap:Polítika]]
[[pl:Polityka]]
[[pnb:سیاست]]
[[ps:سياست]]
[[pt:Política]]
[[qu:Kawpay]]
[[ro:Politică]]
[[ru:Политика]]
[[rue:Політіка]]
[[sah:Политика]]
[[sc:Polìtiga]]
[[scn:Pulìtica]]
[[sco:Politics]]
[[sh:Politika]]
[[simple:Politics]]
[[sk:Politika]]
[[sl:Politika]]
[[sq:Politika]]
[[sr:Политика]]
[[stq:Politik]]
[[su:Pulitik]]
[[sv:Politik]]
[[ta:அரசியல்]]
[[tg:Сиёсат]]
[[th:การเมือง]]
[[tl:Politika]]
[[tpi:Politikis]]
[[tr:Siyaset]]
[[tt:Сәясәт]]
[[uk:Політика]]
[[ur:سیاست]]
[[uz:Siyosat]]
[[vec:Pułitega]]
[[vi:Chính trị]]
[[war:Politika]]
[[wo:Politig]]
[[yi:פאליטיק]]
[[yo:Ìṣèlú]]
[[zea:Politiek]]
[[zh:政治]]
[[zh-yue:政治]]

Toleo la sasa la 18:00, 29 Oktoba 2020

Kampeni za kisiasa nchini Italia.

Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika ngazi mbalimbali za jamii, kama vile mji, taifa, au hata dunia nzima (siasa ya kimataifa).

Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka.

Katika demokrasia kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote kuchangia maamuzi.

Hapa chini, mifumo mbalimbali ya kisiasa huelezwa kifupi:

Utawala wa Kifalme

ni mfumo wa uongozi unaompa mamlaka ya dola na ya serikali Mfalme. Katika mfumo huu madaraka hurithiwa na mtu wa familia ya kifalme.

Utawala wa Kiimla

ni mfumo wa uongozi unaotoa madaraka yasiyo na mipaka kwa kiongozi. Katika utawala huu watu binafsi hawana haki na uhuru katika maamuzi.

Utawala finyu

ni mfumo unaowapa wachache kati ya wengi nguvu za maamuzi katika dola na serikali. Nafasi ya wachache hawa hutokana na haiba na uwezo wao kiuchumi, kijamii, kijeshi au kutokana na mafanikio yao katika nyanja mbalimbali za maisha. Mfumo huu ni nadra sana siku za hivi karibuni. Pia waweza kuitwa utawala wa makabaila.

Utawala wa Umma

ni utawala unaotokana na jamii kuamua misingi ya kujiongoza, hivyo unatoa fursa ya madaraka kwa umma moja kwa moja au kutokana na kuwakilishwa. Mfumo huu wa utawala hujulikana kama demokrasia na umegawanyika katika sehemu zifuatazo:

Demokrasia Chama

ni aina ya demokrasia ya kura. Inashirikisha watu wote kuwa wanachama.

Demokrasia Baguzi

ni aina ya demokrasia inayojikita katika kulinda nguvu za kiuchumi zaidi.

Demokrasia Duni

ni aina ya demokrasia inayotokana na makundi ya watu na kisha kupitia makundi hayo watu kuunda serikali mfano: chama - serikali.

Demokrasia Endelevu

ni aina ya demokrasia inayotoa fursa ya usawa na kupinga matabaka katika jamii.

Demokrasia Shirikishi

katika aina hii ya demokrasia wachache hupewa dhamana na wengi katika uwakilishi wa jamii katika maamuzi.

Wachache huchaguliwa na wengi kwa njia ya demokrasia huru na haki kwa kufuata Katiba ya nchi hiyo. Mfano: Wabunge huwakilisha wananchi wao katika kuleta maendeleo na kuishauri serikali juu ya maendeleo ya nchi.