Vanessa Mdee : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu |
||
(marekebisho 25 ya kati na watumizi wengine 11 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{Msanii muziki 2 |
|||
[[File:Vanessa Mdee.jpg|thumb|200px|right|Mdee akitumbuiza jukwaani, mwaka 2015.]] |
|||
|Jina = Vanessa Mdee |
|||
'''Vanessa Mdee''' (alizaliwa tarehe [[7 Juni]] [[1988]], [[Jiji|jijini]] [[Arusha]], nchini [[Tanzania]]) ni [[mwanamuziki]]. |
|||
|Img= VeeMoney.jpg |
|||
|Jina la kuzaliwa = Vanessa Hau Mdee |
|||
==Maisha ya mwanzo== |
|||
|Asili yake = [[Arusha]], [[Tanzania]] |
|||
⚫ | |||
|Amezaliwa = {{birth date|1988|6|7|df=yes}} |
|||
|utaifa = [[Tanzania|Mtanzania]] |
|||
|Aina = {{hlist|[[R&B]]|Afro pop|[[Bongo Fleva]]|[[hip hop]]}} |
|||
|Kazi yake = {{hlist|[[mwanamuziki]]|[[mtunzi wa nyimbo]]|mtangazaji}} |
|||
|Tovuti = http://www.vanessamdee.com |
|||
|Pia anajulikana kama=Vee Money|Miaka ya kazi=2007 - hadi sasa}} |
|||
'''Vanessa Hau Mdee''' (amezaliwa [[Jiji|jijini]] [[Arusha]] tarehe [[7 Juni]] [[1988]]) ni [[mwanamuziki]] wa [[Tanzania]], rapa, [[mtunzi wa nyimbo]] na mtangazaji wa televisheni na redio. Jina lingine la Vanessa Mdee ni ''Vee Money''. Vanessa Mdee anafahamika kwa kuwa mtanzania wa kwanza kuwa mtangazaji wa [[MTV]].<ref>{{Cite web |url=http://www.mtvbase.com/music/artist/vanessa-mdee/wgevx2 |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2020-04-11 |archivedate=2020-04-11 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20200411010946/http://www.mtvbase.com/music/artist/vanessa-mdee/wgevx2 }}</ref> Vanessa alikuwa mtangazaji wa ''Epic Bongo Star Search'' na ''Dume Challenge'' ndani ya [[ITV Tanzania]]. Mwishoni mwa mwaka 2012, Vanessa alijiunga na ''B'Hits Music Group''.<ref>https://www.bbc.co.uk/music/artists/89a576d7-45b0-4e6d-9035-20107206f035</ref> |
|||
Baada ya kujiunga na [[B'hits Music Group]], Mdee alishirikiana na rapa kutoka Tanzania [[A.Y. (mwanamuziki)|A.Y.]] kwenye wimbo wa ''Money''. Pia, alishirikiana na [[Ommy Dimpoz]], msanii wa [[Bongo Flava]], kwenye wimbo wa ''Me and You'', ambao baadaye ulichaguliwa kuwa wimbo bora wa mwaka kwenye Tuzo za Muziki za Kilimanjaro za mwaka 2013<ref>{{Citation|title=Tanzania Music Awards|date=2022-05-12|url=https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Tanzania_Music_Awards&oldid=1087403729|work=Wikipedia|language=en|access-date=2022-06-02}}</ref>. Mnamo 2015 na 2016, alitoa nyimbo tatu ("Nobody But Me", "Never Ever" na "Niroge") ambazo zilipokelewa vyema. Mwaka 2018, alisainiwa chini ya lebo na [[Universal Music Group]].<ref>{{Cite web|title=Vanessa Mdee: "It's Tough to Be a Female Artist, You Have to Work Five Times Harder Than the Men"|url=https://www.okayafrica.com/vanessa-mdee-interview-tanzania/|work=OkayAfrica|date=2019-02-11|accessdate=2022-06-02|language=en}}</ref> |
|||
Alipata [[elimu]] ya [[sekondari]] katika [[shule]] za kisasa zilizopo jijini Arusha. |
|||
==Maisha yake ya awali na elimu yake== |
|||
Mdee alipata [[elimu ya juu]] katika [[Chuo Kikuu cha Kikatoliki Afrika Mashariki]] na kuchukua [[shahada]] ya [[Sheria]]. |
|||
⚫ | |||
Alipata [[elimu]] ya [[sekondari]] katika shule iitwayo ''Arusha Modern High School''. Alipata [[elimu ya juu]] katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afrika Mashariki (Kiingereza: Catholic University of Eastern Africa) na kuchukua [[shahada]] ya [[Sheria]]. Alianza kujishughulisha na [[ubunifu]] na [[sanaa]]. |
|||
Mdee kwa haraka akaanza kujishughulisha na [[ubunifu]] na [[sanaa]]. |
|||
==Kazi yake== |
|||
===2007: Utafutaji wa mtangazaji wa MTV=== |
|||
⚫ | Mwanzoni mwa mwaka 2007, Mdee alipata fursa ya kushiriki katika Utafutaji wa mtangazaji wa MTV (Kiingereza: MTV [[VJ]] Search) huko Dar es Salaam. Baadaye, alijiunga na ''Carol na Kule'' kuandaa ''Coca Cola Chart Express''. Mnamo mwaka 2008, Vanessa Mdee alikuwa anaishi nchini Tanzania na nchi nyingine za Afrika huku akijihusisha na utayarishaji wa matukio huko [[Nigeria]], [[Afrika Kusini]], [[Kenya]], [[Msumbiji]], [[Angola]], [[Uganda]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Pia alijulikana nchini [[Marekani]] na [[Brazil]]. |
||
===2008: Shirika la ''Staying Alive''=== |
|||
⚫ | Mwanzoni mwa mwaka 2007, Mdee alipata fursa ya |
||
Mnamo mwaka 2008, Vanessa Mdee alifanya kazi na Shirika la ''Staying Alive'' (Kiingereza: Staying Alive Foundation). Alitembelea ''Uwanja wa Fisi'' na Balozi maalum wa Shirika la Staying Alive, [[Kelly Rowland]]. Pia alijiunga na kampeni ya Zinduka iitwayo '''Malaria No More''', kampeni hii inalenga kukomesha malaria. |
|||
=== East Africa's Got Talent === |
|||
Mnamo Julai 2019, Vanessa Mdee alitambulishwa kama mmoja wa majaji wanne waanzilishi wa msimu wa kwanza wa [[East Africa's Got Talent]], ambayo ilianza kuonyeshwa Agosti 2019.<ref>{{Cite web|title=Singer Vanessa Mdee named as judge at East Africa Got Talent 2019|url=https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/singer-vanessa-mdee-named-as-judge-at-east-africa-got-talent-2019-2686958|work=The Citizen|date=2021-04-10|accessdate=2022-06-02|language=en|archivedate=2022-06-02|archiveurl=https://web.archive.org/web/20220602080016/https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/singer-vanessa-mdee-named-as-judge-at-east-africa-got-talent-2019-2686958}}</ref> |
|||
⚫ | |||
== Money Mondays == |
|||
Vanessa Mdee alitoa albamu yake ya kwanza '[[Money Mondays]]' tarehe 15 Januari 2018. Albamu hii ina jumla ya nyimbo kumi na nane, huku mbili zikiwa kama nyimbo za ziada na kumi na sita kama nyimbo rasmi.<ref>{{Cite web|title=Kenya breaking news {{!}} Kenya news today {{!}} Capitalfm.co.ke » Capital News|url=https://www.capitalfm.co.ke/news/|work=Capital News|accessdate=2022-06-02|language=en-US}}</ref> Baadhi ya nyimbo ni pamoja na Bambino amemshiikisha [[Reekado Banks]], Cash Madame, [[Bounce]] na Kisela amemshirikisha Mr.P wa [[P-Square|P Square]]. |
|||
== MTV Shuga == |
|||
Vanessa Mdee alionekana kwenye mfululizo wa tamthilia ya televisheni ya [[MTV Shuga]] Down South kama Stormi the glam madam.<ref>{{Cite web|title=Vanessa Mdee makes MTV Shuga acting debut|url=https://www.standardmedia.co.ke/entertainment/local-news/2001228696/vanessa-mdee-makes-mtv-shuga-acting-debut|work=Standard Entertainment and Lifestyle|accessdate=2022-06-02|language=en|author=Esther Muchene}}</ref> |
|||
== Tazama pia == |
|||
* [[Mimi Mars]] |
|||
== Viungo vya nje == |
|||
* [https://www.youtube.com/user/Veecontent Vanessa Mdee YouTube Channel] |
|||
* [http://vanessamdee.com/ Vanessa Mdee] {{Wayback|url=http://vanessamdee.com/ |date=20210123083428 }} Tovuti rasmi |
|||
== Marejeo == |
|||
{{reflist}} |
|||
⚫ | |||
[[Jamii:Waliozaliwa 1988]] |
[[Jamii:Waliozaliwa 1988]] |
||
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]] |
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]] |
||
[[Jamii:Watu walio hai]] |
[[Jamii:Watu walio hai]] |
||
[[Jamii:Watu wa Tanzania]] |
|||
[[Jamii:Wanawake wa Tanzania]] |
|||
[[Jamii:WikiGap 2020 Tanzania]] |
Toleo la sasa la 14:32, 17 Juni 2024
Vanessa Mdee | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Vanessa Hau Mdee |
Pia anajulikana kama | Vee Money |
Amezaliwa | 7 Juni 1988 |
Asili yake | Arusha, Tanzania |
Aina ya muziki |
|
Kazi yake |
|
Miaka ya kazi | 2007 - hadi sasa |
Tovuti | http://www.vanessamdee.com |
Vanessa Hau Mdee (amezaliwa jijini Arusha tarehe 7 Juni 1988) ni mwanamuziki wa Tanzania, rapa, mtunzi wa nyimbo na mtangazaji wa televisheni na redio. Jina lingine la Vanessa Mdee ni Vee Money. Vanessa Mdee anafahamika kwa kuwa mtanzania wa kwanza kuwa mtangazaji wa MTV.[1] Vanessa alikuwa mtangazaji wa Epic Bongo Star Search na Dume Challenge ndani ya ITV Tanzania. Mwishoni mwa mwaka 2012, Vanessa alijiunga na B'Hits Music Group.[2]
Baada ya kujiunga na B'hits Music Group, Mdee alishirikiana na rapa kutoka Tanzania A.Y. kwenye wimbo wa Money. Pia, alishirikiana na Ommy Dimpoz, msanii wa Bongo Flava, kwenye wimbo wa Me and You, ambao baadaye ulichaguliwa kuwa wimbo bora wa mwaka kwenye Tuzo za Muziki za Kilimanjaro za mwaka 2013[3]. Mnamo 2015 na 2016, alitoa nyimbo tatu ("Nobody But Me", "Never Ever" na "Niroge") ambazo zilipokelewa vyema. Mwaka 2018, alisainiwa chini ya lebo na Universal Music Group.[4]
Maisha yake ya awali na elimu yake
[hariri | hariri chanzo]Vanessa Mdee amekuwa akifahamu tamaduni mbalimbali baada ya kuishi katika miji mbalimbali duniani kama vile New York, Paris, Nairobi na Arusha.
Alipata elimu ya sekondari katika shule iitwayo Arusha Modern High School. Alipata elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afrika Mashariki (Kiingereza: Catholic University of Eastern Africa) na kuchukua shahada ya Sheria. Alianza kujishughulisha na ubunifu na sanaa.
Kazi yake
[hariri | hariri chanzo]2007: Utafutaji wa mtangazaji wa MTV
[hariri | hariri chanzo]Mwanzoni mwa mwaka 2007, Mdee alipata fursa ya kushiriki katika Utafutaji wa mtangazaji wa MTV (Kiingereza: MTV VJ Search) huko Dar es Salaam. Baadaye, alijiunga na Carol na Kule kuandaa Coca Cola Chart Express. Mnamo mwaka 2008, Vanessa Mdee alikuwa anaishi nchini Tanzania na nchi nyingine za Afrika huku akijihusisha na utayarishaji wa matukio huko Nigeria, Afrika Kusini, Kenya, Msumbiji, Angola, Uganda, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Pia alijulikana nchini Marekani na Brazil.
2008: Shirika la Staying Alive
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 2008, Vanessa Mdee alifanya kazi na Shirika la Staying Alive (Kiingereza: Staying Alive Foundation). Alitembelea Uwanja wa Fisi na Balozi maalum wa Shirika la Staying Alive, Kelly Rowland. Pia alijiunga na kampeni ya Zinduka iitwayo Malaria No More, kampeni hii inalenga kukomesha malaria.
East Africa's Got Talent
[hariri | hariri chanzo]Mnamo Julai 2019, Vanessa Mdee alitambulishwa kama mmoja wa majaji wanne waanzilishi wa msimu wa kwanza wa East Africa's Got Talent, ambayo ilianza kuonyeshwa Agosti 2019.[5]
Money Mondays
[hariri | hariri chanzo]Vanessa Mdee alitoa albamu yake ya kwanza 'Money Mondays' tarehe 15 Januari 2018. Albamu hii ina jumla ya nyimbo kumi na nane, huku mbili zikiwa kama nyimbo za ziada na kumi na sita kama nyimbo rasmi.[6] Baadhi ya nyimbo ni pamoja na Bambino amemshiikisha Reekado Banks, Cash Madame, Bounce na Kisela amemshirikisha Mr.P wa P Square.
MTV Shuga
[hariri | hariri chanzo]Vanessa Mdee alionekana kwenye mfululizo wa tamthilia ya televisheni ya MTV Shuga Down South kama Stormi the glam madam.[7]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Vanessa Mdee YouTube Channel
- Vanessa Mdee Archived 23 Januari 2021 at the Wayback Machine. Tovuti rasmi
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-11. Iliwekwa mnamo 2020-04-11.
- ↑ https://www.bbc.co.uk/music/artists/89a576d7-45b0-4e6d-9035-20107206f035
- ↑ "Tanzania Music Awards", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-12, iliwekwa mnamo 2022-06-02
- ↑ "Vanessa Mdee: "It's Tough to Be a Female Artist, You Have to Work Five Times Harder Than the Men"". OkayAfrica (kwa Kiingereza). 2019-02-11. Iliwekwa mnamo 2022-06-02.
- ↑ "Singer Vanessa Mdee named as judge at East Africa Got Talent 2019". The Citizen (kwa Kiingereza). 2021-04-10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-02. Iliwekwa mnamo 2022-06-02.
- ↑ "Kenya breaking news | Kenya news today | Capitalfm.co.ke » Capital News". Capital News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-06-02.
- ↑ Esther Muchene. "Vanessa Mdee makes MTV Shuga acting debut". Standard Entertainment and Lifestyle (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-06-02.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vanessa Mdee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |