Nenda kwa yaliyomo

Jesse Owens : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jesse Owen''' ([[12 Septemba]] [[1913]] – [[31 Machi]] [[1980]]) alikuwa [[Mnegro]] (mtu mwenye asili ya [[Afrika]]) wa huko [[Marekani]]. Alipenda sana [[riadha]] na [[ndoto]] yake ilikuwa kuja kuwa [[mwanariadha]] mkubwa sana na [[maarufu]] pia.

[[File:Bundesarchiv Bild 183-R96374, Berlin, Olympiade, Jesse Owens beim Weitsprung crop.jpg|left|right|thumb|215px|Owens akiruka [[miruko mirefu]] katika mashindano ya Olympiki]]

Mwaka [[1936]] alikwenda kujisajiri katika [[mashindano]] ya kukimbia [[masafa marefu]]. Katika [[shindano]] lake la kwanza Jesse aliibuka [[mshindi]]. Aliendelea kushiriki katika [[mashindano]] mbalimbali, ndipo ikafikia hatua akapewa nafasi ya kwenda kushiriki katika [[mashindano]] huko [[Ujerumani]], lakini [[familia]] yake haikupenda Jesse aondoke, ila baadaye wakakubali.

Pitio la 13:30, 26 Februari 2017

Jesse Owen (12 Septemba 191331 Machi 1980) alikuwa Mnegro (mtu mwenye asili ya Afrika) wa huko Marekani. Alipenda sana riadha na ndoto yake ilikuwa kuja kuwa mwanariadha mkubwa sana na maarufu pia.

Owens akiruka miruko mirefu katika mashindano ya Olympiki

Mwaka 1936 alikwenda kujisajiri katika mashindano ya kukimbia masafa marefu. Katika shindano lake la kwanza Jesse aliibuka mshindi. Aliendelea kushiriki katika mashindano mbalimbali, ndipo ikafikia hatua akapewa nafasi ya kwenda kushiriki katika mashindano huko Ujerumani, lakini familia yake haikupenda Jesse aondoke, ila baadaye wakakubali.

Alipokwenda huko Ujerumani alipokelewa kwa shangwe kubwa sana. Katika shindano lake la kwanza alifanyikiwa kushinda na kunyakua medali yake ya kwanza. Familia yake ilifurahi sana kwa mafanikio aliyopata mtoto wao, Jesse aliporudi kwao Marekani na medali nne. Alikuwa mwanariadha wa kwanza kupata medali nne kwa mkupuo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesse Owens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.