Nenda kwa yaliyomo

Ila Arun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:38, 14 Machi 2021 na Magotech (majadiliano | michango)
Ila Arun
[[Image:Faili:Ila Arun01.jpg|230px|Ila Arun mwaka 2014]]
Ila Arun mwaka 2014
Jina la kuzaliwa Ila Arun
Alizaliwa 15-03-1952
Nchi India
Kazi yake Mwigizaji, Muimbaji na Mtangazaji
Ndoa Arun Bajpai
Watoto Ishita Arun

Ila Arun (Alizaliwa mnamo 15-03-1952 Jodhpur katika jimbo la Rajasthan, India),ni Mwigizaji wa Filamu za kihindi, Mwigizaji katika Televisheni, Mwimbaji, Mwimbaji wa ufatilizi ambaye anafahamikaa kwa kazi zake katika sinema za kihindi.[1] Ameonekana katika sinema nyingi maarufu za Bollywood kama vile Lamhe, Jodhaa Akbar, Shaadi Ke Side Effects na Begum Jaan.[2] Ila Arun ni mwimbaji anayependwa sana, mwigizaji anaejulikana na mwenye mvuto katika runinga. Alihitimu kutoka Chuo cha Wasichana cha Maharani huko Jaipur. IlaArun anasifika kwa sauti yake nzuri na ya kuvutia na talanta ya kushangaza aliyonayo. Alianza kuonekana kwenye runninga kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha Televisheni cha kihindi cha Lifeline (Jeevanrekha), ambacho kilisisitiza maisha ya kawaida ya madaktari kilichokuwa kikirushwa kupitia stesheni ya Doordarshan.[3]


Marejeo

  1. Shuchita Jha / TNN / Sep 2, 2019, 16:43 Ist. "Singer Ila Arun remembers BV Karanth's contribution | Bhopal News - Times of India". The Times of India (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-14.{{cite web}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  2. "How old is Ila Arun". HowOld.co (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-14.
  3. "Ila Arun Biography, Age, Husband, Children, Family, Caste, Wiki & More". www.celebrityborn.com. Iliwekwa mnamo 2021-03-14.