Nenda kwa yaliyomo

William Lawrence Bragg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:05, 10 Novemba 2021 na Kipala (majadiliano | michango) (Kipala alihamisha ukurasa wa William Bragg hadi William Lawrence Bragg)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
William Henry Bragg

William Henry Bragg (2 Julai 186210 Machi 1942) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1915, pamoja na mwana wake, Lawrence Bragg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Lawrence Bragg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.