Adelaide wa Italia
Mandhari
Adelaide wa Italia | |
---|---|
Adelaide wa Italia | |
Amezaliwa | 931 |
Feast |
Adelaide wa Italia (takriban 931 – 16 Desemba, 999) alikuwa binti wa Rudolf II, mfalme wa Burgundia.
Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa Italia. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na Otto I, mfalme wa Ujerumani.
Tangu kale anaheshimiwa kwa kuishi maisha matakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 16 Desemba[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. New York: Penguin Books (1993). ISBN 0140513124.
- Chicago, Judy. The Dinner Party: From Creation to Preservation. London: Merrell (2007). ISBN 1858943701
- Coulson, John. The Saints: A Concise Biographical Dictionary. New York: Hawthorn Books (1958).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Genealogie-Mittelalter: "Adelheid von Burgund". Archived 4 Mei 2006 at the Wayback Machine.
- Women's Biography: Adelaide of Burgundy, Ottonian empress Archived 30 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |