1865
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| ►
◄◄ |
◄ |
1861 |
1862 |
1863 |
1864 |
1865
| 1866
| 1867
| 1868
| 1869
| ►
| ►►
Matukio
Waliozaliwa
- 1 Aprili - Richard Zsigmondy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1925)
- 25 Mei - Pieter Zeeman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 25 Mei - John Mott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946)
- 13 Juni - William Butler Yeats (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1923)
- 27 Agosti - Charles Dawes (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 12 Oktoba - Arthur Harden (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 2 Novemba - Warren G. Harding, Rais wa Marekani (1921-23)
- 8 Desemba - Jean Sibelius, mtunzi wa muziki kutoka Ufini
- 30 Desemba - Rudyard Kipling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1907)
Waliofariki
- 15 Aprili - Abraham Lincoln, Rais wa Marekani (1861-65)