Nenda kwa yaliyomo

Luleå

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Storgatan (barabara kubwa) katika Luleå

Luleå (Kisami: Luleju, Kifini: Luulaja) ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1621. Kuna wakazi 45,467 (mwaka 2005).

Jiografia

Eneo lake ni 28.81 km².Iko katika kaskazini ya nchi kando la Bahari ya Baltiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luleå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.