Daniel Ortega
Mandhari
Daniel Ortega | |
Aliingia ofisini 10 Januari 2007 | |
Makamu wa Rais | Jaime Morales Carazo Omar Halleslevens |
---|---|
Muda wa Utawala 10 Januari 1985 – 25 Aprili 1990 | |
Makamu wa Rais | Sergio Ramírez Mercado |
aliyemfuata | Violeta Chamorro |
Muda wa Utawala 18 Julai 1979 – 10 Januari 1985 | |
mtangulizi | Francisco Urcuyo (Rais wa mpito) |
aliyemfuata | Yeye mwenyewe(Rais) |
tarehe ya kuzaliwa | 11 Novemba 1945 La Libertad, Nicaragua |
jina ya kuzaliwa | José Daniel Ortega Saavedra |
chama | Sandinista National Liberation Front |
ndoa | Rosario Murillo (1979–hadi sasa) |
dini | Romani katoliki |
Jose Daniel Ortega Saavedra (amezaliwa 11 Novemba 1945) ni mwanasiasa wa Nikaragua. Ni rais wa Nikaragua tokea mwaka 2007[1]. Pia alitumikia kama rais kuanzia mwaka 1979 mpaka 1990. Mnamo Novemba 2021, Daniel Ortega, alichaguliwa tena kwa muhula wa nne wa miaka mitano na 75% ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya kwanza yaliyotolewa na Baraza Kuu la Uchaguzi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ortega wins Nicaragua's election,BBC News, 8 Novemba 2006