Kanda Matsuri
Mandhari
Kanda Matsuri (kwa Kijapani: 神田祭. Pia hujulikana kama sherehe za Kanda, kwa Kiingereza Kanda Festival) ni moja kati ya sherehe tatu kubwa katika jamii ya Shinto huko Tokyo, pamoja na Fukagawa Matsuri na Sannō Matsuri.
Sherehe hizo zilianza mapema katika karne ya 17 ili kusherehekea ushindi za Tokugawa Ieyasu katika vita vya Sekigahara.[1][2]
Sherehe hizo husherehekewa katika Jumapili na Jmatatu hadi karibia na tarehe 15 Mei, Kanda Shrine na pia katika wilaya za mji wa Tokyo ikijumuisha wanamuziki, wachezaji na michezo ya vinyago n.k. [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kanda Matsuri Festival". Discovery Events Guide. Travel Channel. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-29. Iliwekwa mnamo 2008-03-22.
- ↑ "Festivals". Japan Zone. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
- ↑ "Kanda Matsuri". Japan National Tourist Organization. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanda Matsuri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |