Kinyika
Mandhari
Kinyika ni lugha ya Kibantu nchini Malawi na Zambia inayozungumzwa na Wanyika. Isichanganywe na Kinyiha (ambacho huitwa Kinyika pia) wala na Kinyiha cha Malawi ambacho kinafanana nacho. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinyika imehesabiwa kuwa watu 10,000, yaani 5000 nchini Malawi na 5000 nchini Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyika iko katika kundi la M20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinyika kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyika
- lugha ya Kinyika katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nkv
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Krüger, Susanne; Lindfors, Anna-Lena; Nagler, Louise; Woodward, Mark. 2009. "A sociolinguistic survey of the Nyiha and Nyika language communities in Tanzania, Zambia and Malawi." Archived 19 Oktoba 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |