Maporomoko ya Niagara

Maporomoko ya Niagara (Niagara Falls) ni mfululizo wa maporomoko ya maji kwenye mto Niagara yaliyopo mpakani mwa Kanada na Marekani kati ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario. Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini.

Maporomoko ya Niagara (Horseshoe Falls)

Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu

  • Horseshoe Falls (maporomoko ya mguu wa farasi, yanaitwa pia maporomoko ya Kikanada)
  • Maporomoko ya Kimarekani
  • Maporomoko ya Bridal Veil (utaji wa bibi arusi)

Ni kitovu cha utalii katika Amerika ya Kaskazini kinachotembelewa na watalii wngi sana.

Kuna miji miwili inayoitwa Niagara Falls upande wa Kanada na mwingine upande wa Marekani.


Tazama pia

hariri

Viungo vya Nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: