Nenda kwa yaliyomo

Mike Brewster : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Michael Brewster''' alizaliwa Julai 27, 1989 ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Marekani aliyekuwa katikati ya uwanja na kwa sasa ni kocha wa mpira wa miguu katika timu ya ''Valparaiso''. Alicheza katika chuo cha kikuu cha jimbo la Ohio. Brewster alisainiwa na ''Jacksonville Jaguars'' kama mchezaji asiyechaguliwa kwenye rasimu ya mwaka 2012.<ref>{{Cite web |url=http://ohiostate.scout.com/a.z?s=145&p=8&c=1&nid=2639441 |title=Mike Brewster...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:28, 22 Septemba 2024

Michael Brewster alizaliwa Julai 27, 1989 ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Marekani aliyekuwa katikati ya uwanja na kwa sasa ni kocha wa mpira wa miguu katika timu ya Valparaiso. Alicheza katika chuo cha kikuu cha jimbo la Ohio. Brewster alisainiwa na Jacksonville Jaguars kama mchezaji asiyechaguliwa kwenye rasimu ya mwaka 2012.[1][2][3]

Marejeo

  1. "Mike Brewster Recruiting Profile". Scout.com.
  2. Pauline, Tony. "Stanford's Luck headlines early look at top 2012 draft prospects", Sports Illustrated, May 3, 2011. 
  3. "Mike Brewster", CNN.