Nenda kwa yaliyomo

Kizhuang cha Minz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:32, 19 Juni 2017 na Baba Tabita (majadiliano | michango) (Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Kizhuang ya Minz hadi Kizhuang cha Minz: kihusishi cha ngeli 7)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kizhuang ya Minz ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kizhuang ya Minz imehesabiwa kuwa watu 173,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhuang ya Minz iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang cha Minz kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.