Nenda kwa yaliyomo

Chromi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:10, 17 Januari 2020 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)


Chromi
Fuwele ya Chromi
Fuwele ya Chromi
Jina la Elementi Chromi
Alama Cr
Namba atomia 24
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 51.9961
Valensi 2, 8, 13, 1
Densiti 7.14 g/cm³
Ugumu (Mohs) 8.5
Kiwango cha kuyeyuka 2180 K (1907 °C)
Kiwango cha kuchemka 2944 K (2671 °C)
Asilimia za ganda la dunia 1,9 · 10−2 %
Hali maada mango

Chromi ni elementi na metali yenye namba atomia 24 na alama Cr katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali ngumu na bambaikaji yenye rangi ya kifedha-kijivu inayopatikana katika madini na kampaundi mbalimbali.

Hutumiwa sana katika aloi za feleji na kuongeza ugumu.

Madini ya chromi huchimbwa hasa Afrika Kusini (50 % ya mahitaji yote ya dunia), halafu Kazakhstan (15,2 %), Uhindi (12,1 %), Zimbabwe (3,7 %) na Ufini (3 %).

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chromi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.