Nenda kwa yaliyomo

Papa Benedikto XII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:07, 20 Machi 2022 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Papa Benedikto XII

Papa Benedikto XII. O.Cist. (miaka ya 128025 Aprili 1342) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Desemba 1334/8 Januari 1335 hadi kifo chake[1]. Alitokea Saverdun, Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Fournier.

Alimfuata Papa Yohane XXII akafuatwa na Papa Klementi VI.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.