Nenda kwa yaliyomo

Proklo wa Bisignano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:39, 10 Oktoba 2022 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Proklo wa Bisignano (alifariki 975 hivi) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki huko Bisignano, Calabria, Italia Kusini, aliyepokewa utawani na Nilo Kijana.

Alijulikana kwa elimu yake kubwa na kwa juhudi zake katika malipizi zilizoharibu afya yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Februari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.