Nenda kwa yaliyomo

Achraf Hakimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:10, 20 Aprili 2024 na Khatab Suleiman Omar (majadiliano | michango) (Muundo wa lugha)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Achraf Hakimi
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania, Moroko Hariri
Nchi anayoitumikiaMoroko Hariri
Jina katika lugha mamaAchraf Hakimi Hariri
Jina la kuzaliwaAchraf Hakimi Hariri
Jina halisiAchraf Hariri
Tarehe ya kuzaliwa4 Novemba 1998 Hariri
Mahali alipozaliwaMadrid Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania, Moroccan Darija, Kifaransa, Kiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufull-back Hariri
Muda wa kazi2016 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoParis Saint Germain F.C. Hariri
DiniUislamu Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji2 Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2018, 2019 Africa Cup of Nations, Kombe la Mataifa ya Afrika 2021, 2018 FIFA World Cup qualification, 2022 FIFA World Cup qualification (CAF) Hariri
Tuzo iliyopokelewaOfficer of the Order of the Throne Hariri

Achraf Hakimi Mouh (anajulikana kama Achraf; alizaliwa Madrid, Hispania, 4 Novemba 1998 [1][2]) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama beki wa kati kwenye klabu ya Ufaransa inayoitwa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Moroko.

Achraf Hakimi ndiye mchezaji aliyepiga penati ya mwisho na kuisaidia timu yake ya Moroko kutinga hatua ya robo fainali baada ya kuitoa Hispania huko Qatar mnamo 6 Desemba, 2022.

  1. "Achraf Hakimi". Paris Saint-Germain F.C. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "FIFA Club World Cup UAE 2017: List of players: Real Madrid CF" (PDF). FIFA. 16 Desemba 2017. uk. 5. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 23 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 24 Desemba 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Achraf Hakimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.