Nenda kwa yaliyomo

Kuongezeka Majangwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 17:16, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 42 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q183481 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Makala hii kuhusu "Kuongezeka Majangwa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Uharibifu misitu ,ufugaji wa ng'ombe na kilimo cha kupindukia vimekua vyanzo vikuu vya Kuongezeka Majangwa. Udongo unapokua mkavu,hwa huru kwa upepo ambao huuchana udongo wa juu na kuusambaratisha. Ardhi za vilimo mwanzo zilikua zikizalisha zimekua tasa na hupoteza mandhari zake. Kisha jangwa hutanuka na kuteka ardhi.