26 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Agosti ni siku ya 238 ya mwaka (ya 239 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 127.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1582 - Mtakatifu Umile wa Bisignano, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1874 - Zona Gale, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1882 - James Franck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925)
- 1903 - Caroline Pafford Miller, mwandishi kutoka Marekani
- 1910 - Mtakatifu Mama Teresa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1979
- 1953 - Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa Tanzania (2005-2008)
- 1970 - Melissa McCarthy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1980 - Chris Pine, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 887 - Koko, mfalme mkuu wa Japani (884-887)
- 1987 - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 1996 - Sven Stolpe, mwandishi kutoka Uswidi
- 1998 - Frederick Reines, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Melkisedek, Masimiliani wa Roma, Anastasi Dobi, Vikta wa Kaisarea, Aleksanda wa Bergamo, Eleuteri wa Auxerre, Yoana Elizabeti, Mariam Baouardy, Tereza wa Yesu Jornet n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |