Nenda kwa yaliyomo

Abdirahman Ali Hassan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdirahman Ali Hassan ni mwanasiasa wa Kenya. Akihudumu katika serikali ya Kenya kama waziri msaidizi wa biashara na viwanda kuanzia 2005 hadi 2007.[1]Pia alikuwa mwanachama wa orange democratic movement,akiwakilisha eneo la Wajir kusini katika bunge la kitaifa la Kenya katika uchaguzi wa 2002.[2]Pia alichaguliwa katika seneti ya Kenya mwaka wa 2013, [3] akiwakilisha kaunti ya Wajir, na kuwa naibu kiongozi katika seneti.[4][5][6]

  1. "Results of the 2007 Kenyan general election", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-08-10, iliwekwa mnamo 2021-10-09
  2. Members Of The 10th Parliament Archived 2008-06-16 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.
  3. "Politicians | Kenyans.co.ke". www.kenyans.co.ke. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  4. "Hassan, Abdirahman Ali | The Kenyan Parliament Website". parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  5. "Abdirahman Ali Hassan". Mzalendo (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  6. Post, Kulan (2017-02-18). "Wajir Senator Olow retires from active politics". KULAN POST (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.