Augusta, Maine
Augusta, Maine | |
Mahali pa mji wa Augusta katika Marekani |
|
Majiranukta: 44°18′38″N 69°46′48″W / 44.31056°N 69.78000°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Maine |
Wilaya | Kennebec |
Idadi ya wakazi (2000) | |
- Wakazi kwa ujumla | 18,560 |
Tovuti: www.ci.augusta.me.us |
Augusta ni jina la mji mkuu wa jimho la Maine nchini Marekani. Idadi ya wakazi ya mjini hapa ilikadiriwa hadi kufikia kiasi cha watu 18,560 wanaoishi mjini hapa. Mji uliazishwa mnamo mwaka wa 1754. Mji upo m 20 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) City of Augusta, Maine Ilihifadhiwa 6 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) Lithgow Public Library
- (Kiingereza) University of Maine at Augusta
- (Kiingereza) City Data Profile
- (Kiingereza) Epodunk City Profile
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Augusta, Maine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |