Baeda Maryam I
Mandhari
Baeda Maryam (takriban 1448 – 19 Novemba 1478) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 1468 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Zara Yaqob.
Wakati wa utawala wake alifaulu kupata maafikiano ya amani na Muhammad, mwana wa Badlay ibn Sa’ad ad-Din. Alifariki mahali pa Abasi Wera Gabayi. Aliyemfuata ni Eskender.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baeda Maryam I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |