Erodioni, Asinkrito na Flego
Mandhari
Erodioni, Asinkrito na Flego walikuwa wanaume Wakristo wa karne ya 1 waliotajwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 16:11, 14.
Erodioni alikuwa ndugu wa mtume huyo na inasemekana baadaye alipata kuwa askofu wa Patraso (Ugiriki) au Tarso (Kilikia, leo nchini Uturuki) na hatimaye alifia imani[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 8 Aprili[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Agavos, Rouphos, Asynkritos, Phlegon, Herodion, & Hermes of the 70 Apostles (GOARCH)
- Apostle Herodion of the Seventy, January 4 (OCA)
- Apostle Herodion of the Seventy, and those with Him, April 8 (OCA)
- Apostle Rodion of the Seventy, November 10 (OCA)
- Apostle Asyncritus of the Seventy, January 4 (OCA)
- Apostle Asyncritus, of the Seventy and those with him, April 8 (OCA)
- http://www.zeno.org/Heiligenlexikon-1858/A/Asyncritus,+S.+(1)
- http://www.biblia.deon.pl/rozdzial.php?id=285&werset=14#W14
- Apostle Phlegon of the Seventy and those with him (OCA)
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Erodioni, Asinkrito na Flego kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |