Nenda kwa yaliyomo

Human Nature

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Human Nature”
“Human Nature” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Thriller
B-side "Baby Be Mine"
Imetolewa 3 Julai 1983
Muundo 7" single
Imerekodiwa 1982
Aina R&B
Urefu 4:06 (toleo la albamu)
3:45 (toleo la single)
Studio Epic Records
Mtunzi Steve Porcaro
John Bettis
Mtayarishaji Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Wanna Be Startin' Somethin'"
(1983)
"Human Nature"
(1983)
"P.Y.T. (Pretty Young Thing)"
(1983)

"Human Nature" ni wimbo wa R&B uliombwa na msanii wa rekodi za muziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Steve Porcaro na John Bettis, na ulitayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Awali, Porcaro alirekodi demo kaseti ya majaribio ya wimbo huu, ambayo hiyo ndiyo baadaye alikuja kupewa Jones.

"Human Nature" ulitolewa mnamo tar. 3 Julai 1983, ukiwa kama wimbo wa tano katika albamu. Japokuwa wimbo haujatolewa nchini UK, wimbo ulipata mafanikio makubwa katika chati za US. Kwa kushika namba mbili kwenye chati za Billboard' Hot Adult Contemporary na namba saba kwenye chati za Hot 100. Wimbo huu ni wa tano wa Michael Jackson kutoka katika albamu ya "Thriller" na kuingia kwenye Kumi Bora'. Nchini New Zealand, single ilishika nafasi ya 11. Wimbo huu wa "Human Nature" ulikuja kuimbwa na kusampuliwa na wasanii kibao. Wasanii hao ni pamoja na: Miles Davis, SWV, Nas, Jason Nevins na Boyz II Men.

Chati zake

[hariri | hariri chanzo]
Chati (1983) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 7
U.S. Billboard R&B Singles chart 27
U.S. Billboard Adult Contemporary chart 2[1]
Dutch Singles Chart 11[2]
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
UK Singles Chart 62[3]
  1. Hyatt, Wesley (1999). The Billboard Book of #1 Adult Contemporary Hits (Billboard Publications), page 269.
  2. "Dutch Singles Chart Archives". dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 11 Aprili 2009.
  3. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Human Nature kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.