Nenda kwa yaliyomo

John Sturges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Sturges
Jina la kuzaliwa John Eliot Sturges
Alizaliwa 3 Januari 1910
Oak Park, Illinois
Marekani
Alikufa 18 Agosti 1992, San Luis Obispo, California
Nchi Marekani
Kazi yake Mwongozaji
Mtaarishaji

John Eliot Sturges (alizaliwa tar. 3 Januari 191018 Agosti 1992) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu wa Kimarekani. Alikuwa akifahamika zaidi kama mwasisi wa filamu za bajeti kubwa zilizokuwa zinatengenezwa kati ya mwaka 1950 na 1960. Moja kati ya filamu alizoongoza ni kama ifuatavyo: The Magnificent Seven, The Great Escape, Gunfight at the O.K. Corral, Ice Station Zebra na Marooned.

Filamu zilizoongozwa na John Sturges

[hariri | hariri chanzo]
  • The Man Who Dared (1946)
  • Shadowed (1946)
  • Alias Mr. Twilight (1946)
  • For the Love of Rusty (1947)
  • Keeper of the Bees (1947)
  • Thunderbolt (1947 movie)|Thunderbolt (1947)
  • The Sign of the Ram (1948)
  • Best Man Wins (1948)
  • The Walking Hills (1949)
  • The Magnificent Yankee (1950)
  • The Capture (movie)|The Capture (1950)
  • Mystery Street (1950)
  • Right Cross (1950)
  • Kind Lady (1951)
  • The People Against O'Hara (1951)
  • It's a Big Country (1951)
  • The Girl in White (1952)
  • Jeopardy (1953 film)|Jeopardy (1953)
  • Fast Company (1953 film)|Fast Company (1953)
  • Escape from Fort Bravo (1953)
  • Bad Day at Black Rock (1955)
  • Underwater! (1955)
  • The Scarlet Coat (1955)
  • Backlash (1956 movie)|Backlash (1956)
  • Gunfight at the O.K. Corral (1957 film)|Gunfight at the O.K. Corral (1957)
  • Saddle the Wind (1958) (uncredited)
  • The Law and Jake Wade (1958)
  • The Old Man and the Sea (film)|The Old Man and the Sea (1958)
  • Last Train from Gun Hill (1959)
  • Never So Few (1959)
  • The Magnificent Seven (1960)
  • By Love Possessed (1961)
  • Sergeants 3 (1962)
  • A Girl Named Tamiko (1963)
  • The Great Escape (1963)
  • The Satan Bug (1965)
  • The Hallelujah Trail (1965)
  • Hour of the Gun (1967)
  • Ice Station Zebra (film)|Ice Station Zebra (1968)
  • Marooned (film)|Marooned (1969)
  • Joe Kidd (1972)
  • Chino (film)|Chino (1973)
  • McQ (1974)
  • The Eagle Has Landed (film)|The Eagle Has Landed (1976)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Sturges kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.