Nenda kwa yaliyomo

Josephine Sinyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Josephine Sinyo ni mwanasheria wa Kenya, mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za walemavu. Josephine ni mbunge wa bunge la Kenya, baada ya mwaka 1998 kuwa kipofu wa kwanza kuchaguliwa kuwa mbunge.[1][2][3]

  1. pm, Ezra Manyibe on 21 January 2020-1:43 (21 Januari 2020). "Ambitious Woman Who Was Kenya's First Blind MP". Kenyans.co.ke (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-02-26.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  2. "I was blindly accused of stealing a baby", Nation, 21 December 2020. 
  3. "World Rowing - Kenya rows in East Africa Regional Rowing Championships". World Rowing (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-02-26.