Kikareli
Mandhari
Kikareli ni lugha ya Kifini-Kiugori nchini Urusi na Ufini inayozungumzwa na Wakareli. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikareli nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 25,600. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Ufini (1994). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikareli iko katika kundi la Kifini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikareli kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikareli Archived 19 Oktoba 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikareli katika Glottolog
- lugha ya Kikareli kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikareli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |