L'Aquila
Mandhari
L'Aquila (maana yake Tai) ni makao makuu ya mkoa wa Abruzzo, Italia Kusini.
Mji huo una wakazi 69,478 (2018).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu L'Aquila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |