Jamhuri ya Gabon, au Gabon, ni nchi Afrika magharibi ya kati. Ime pakana na Guinea ya Ikweta, Kamerun, Jamhuri ya Kongo na Guba ya Guinea. Gabon kutoka kushinda uhuru kutoka Ufaransa mnamo Agosti 17, 1960, Jamhuri hii imeongozwa na Rais wa tatu, Autokrat; Aliyeshikilia El Hadj Omar Bongo amekua kwa uongozi kutoka mwaka wa 1967 na hivi leo (2006) yeye ndiye kiongozi Afrika aliyeshikilia uongozi kwa mda mrefu. Gabon ilianza demokrasia ya vyama vingi na katiba ya kidemokrasia mwaka wa 1990- ambayo inaruhusu ukweli wa uchaguzi na utekelezaji wa idara za serikali. Nchi hii ina, umma mdogo, madini na mali kwa wingi, na wahifadhi biashara kutoka nchi za kigeni wameweza kufanya Gabon iwe nchi moja eneo hii ya Afrika yenye maedeleo na neema.