Laura Bush
Mandhari
Laura Bush (jina la kuzaliwa: Laura Lane Welch amezaliwa tar. 4 Novemba 1946 mjini Midland, Texas) ni mke wa rais wa Marekani Bw. George W. Bush. Laura ni mtoto pekee wa mzee Harold Bruce Welch (1912-1995) na Jenna Louise Hawkins (aliz. 1919). Laura na George walikutana na kuoana mnamo mwaka wa 1977. Laura ni mama wa Barbara Bush na Jenna Bush, ambao walizaliwa mapacha mnamo mwaka 1981. Kabla ya kuwa mke wa Rais, Laura alikuwa akifanya kazi ya uwalimu wa shule katika mji wa Dallas na Austin, Texas.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "Mrs. Laura Bush's Home Page". whitehouse.gov. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-10-06. Iliwekwa mnamo 2007-11-10.
- "The book on Laura Bush" by Dennis B. Roddy, Pittsburgh Post-Gazette Archived 1 Mei 2009 at the Wayback Machine.
- "A Laura Bush we don't know" by Eugene Robinson, San Francisco Chronicle
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laura Bush kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Orodha ya Wake wa Marais wa Marekani | |
---|---|
M. Washington · A. Adams · M. Jefferson Randolph · D. Madison · E. Monroe · L. Adams · E. Donelson · S. Jackson · A. Van Buren · A. Harrison · J. Harrison · L. Tyler · P. Tyler · J. Tyler · S. Polk · M. Taylor · A. Fillmore · J. Pierce · H. Lane · M. Lincoln · E. Johnson · J. Grant · L. Hayes · L. Garfield · M. McElroy · R. Cleveland · F. Cleveland · C. Harrison · M. McKee · F. Cleveland · I. McKinley · Edith Roosevelt · H. Taft · Ellen Wilson · Edith Wilson · F. Harding · G. Coolidge · L. Hoover · E. Roosevelt · B. Truman · M. Eisenhower · J. Kennedy · C. Johnson · P. Nixon · B. Ford · R. Carter · N. Reagan · B. Bush · H. Clinton · L. Bush · M. Obama
|