Miljöpartiet
Mandhari
Miljöpartiet De Gröna (MP) ni chama cha siasa nchini Uswidi.
Jina lamaanisha "Chama cha mazingira - Wanaekolojia"[1].
Shabaha ya chama ni kuimarisha sheria zinazohifadhi mazingira asilia wakifuata hasa upinzani dhidi ya nishati ya kinyuklia.
Kwa kawaida wanachagua wenyeviti wawili, mmoja mwanamke na mmoja mwanamume.
Leaders
[hariri | hariri chanzo]Miaka | Mwanamke | Mwanamume |
---|---|---|
1981–1984 | ||
1984–1985 | Ragnhild Pohanka | Per Gahrton |
1985–1986 | Birger Schlaug | |
1986–1988 | Eva Goës | |
1988–1990 | Fiona Björling | Anders Nordin |
1990–1991 | Margareta Gisselberg | Jan Axelsson |
1991–1992 | Vakant | |
1992–1999 | Marianne Samuelsson | Birger Schlaug |
1999–2000 | Lotta Nilsson Hedström | |
2000–2002 | Matz Hammarström | |
2002–2011 | Maria Wetterstrand | Peter Eriksson |
2011–2016 | Åsa Romson | Gustav Fridolin |
2016– | Isabella Lövin |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gröna" inatafsiriwa "wenye rangi ya kibichi, ya kijani" ambayo ni jina la mwelekeo wa kisiasa unaolenga kuhifadhi mazingira katika nchi mbalimbali ("Green Party")