Nenda kwa yaliyomo

Molibdeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Molibdeni (Molybdenum)
Jina la Elementi Molibdeni (Molybdenum)
Alama Mo
Namba atomia 107
Mfululizo safu metali ya mpito
Uzani atomia 262,1229 u
Valensi 2, 8, 18, 13, 1
Densiti 10.28 g/cm³
Ugumu (Mohs) 5.5
Kiwango cha kuyeyuka 2896 K (2623 °C)
Kiwango cha kuchemka 4912 K (4639 °C)
Asilimia za ganda la dunia 1 · 10−3 %
Hali maada mango
Mengineyo Poloni ni nururifu; nusumaisha ya isotopi zake ni kati ya mikrosekondi hadi miaka 103

Molibdeni (kutoka kigiriki molybdos metali ya risasi) ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 42 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 95.94. Rangi ya metali tupu ni nyeupe-kifedha.

Ni metali imara na ngumu na kiwango cha kuyeyuka ni juu sana. Kwa sababu hiyo hutumiwa katika aloi za feleji inayotakiwa kuwa na nguvu sana.

Punje za Molibdeni tupu.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Molibdeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.