Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa huu unaonyesha picha zote zinazopendekezwa kwa Kamusi ya Astronomia .
Picha ziko hapa kwa upana wa 350px. Kwa mwonekano kubwa zaidi nenda hapa: Mtumiaji:Kipala/Astropics
Jina la makala husika
Maelezo ya picha jinsi yanavyoweza kuonekana chini ya picha
chanzo ya picha & laiseni ya hatimiliki
(Vifupi ya maelezo kuhusu vyanzo na hatimiliki vinaweza kutajwa kw jumla)
Afeli 1. Sayari kwenye afeli yake 2. Sayari kwenye periheli yake 3. Jua (Pearson Scott Foresman © PD)
Angahewa Tabaka za angahewa ya Dunia (Niko Lang © CC BY-SA 3.0 )
Apollo 11 Apollo-11: safari ya kwanza iliyofika mwezini mwaka 1969 (Neil A. Armstrong © PD-NASA)
Arinabu (kundinyota) Kundinyota Arinabu (Lepus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Asteroidi 253 Mathilde ni asteroidi yenye vipimo vya km 66×48×46 (NASA © PD)
Bakari (kundinyota) kundinyota Bakari (Bootes) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
Batiya (kundinyota) Nyota za kundinyota Batiya (Crater) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Bikari (kundinyota) Nyota za kundinyota Bikari (Circinus ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Ceres Ceres (Sayari kibete) ilivyopigwa picha na kipimaanga "Dawn" (NASA © PD)
Chombo cha anga-nje Feri ya anga-nje Atlantis pamoja na kituo cha anga-nje MIR (NASA © PD-NASA)
Dajaja (kundinyota) Kundinyota Dajaja (Cygnus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dalufnin (kundinyota) Kundinyota Dalufnin (Delphinus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Darubini 1 Darubinilenzi, Vienna (Prof. Franz Kerschbaum, Institut für Astronomie, Universität Wien © CC BY-SA 3.0 Unported)
Darubini 2 Darubini redio, Kitt Peak, Arizona, USA. (Jeff Mangum, NRAO © GNU 1.2)
Darubini (kundinyota) Kundinyota Darubini (Telescopium) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dhibu (kundinyota) Kundinyota Dhibu (Lupus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dira (kundinyota) Kundinyota Dira (Pyxis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dubu Mdogo (kundinyota) Nyota za kundinyota Dubu Mdogo (Ursa Minor) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg))
Dubu Mkubwa (kundinyota) Kundinyota Dubu Mkubwa (Ursa Major) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Dunia Picha maarufu ya Sayari Dunia iliyopigwa Desemba 7, 1972 na kikosi cha wanaanga wa Apollo 17. (Apollo 17 © PD)
Ekliptiki Obiti za sayari zote ziko kwenye bapa la ekliptiki, isipokuwa obiti ya Pluto imenama. (NikoLang © CC BY-SA 4.0 )
Farasi (kundinyota) Kundinyota Farasi (Pegasus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Farisi (kundinyota) Kundinyota Farisi (Perseus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Fungunyota Fungunyota tufe ya Messier2 (NASA © PD)
Galaksi Galaksi NGC 6814 inaonyesha umbo la parafujo (ESA/Hubble & NASA Acknowledgement: Judy Schmidt (Geckzilla) © PD)
Galaksi ya Andromeda Galaksi ya Andromeda (NASA © PD)
Galileo Galilei Galileo alivyoonyesha miezi ya Mshtarii kwa viongozi wa Venisi, Italia (Louis_Figuier © PD)
Ghurabu (kundinyota) Kundinyota ya Ghurabu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Globu ya nyota Globu ya nyota ya Kiajemi mnamo 1750 (CC-BY-SA 4.0 © Muhammadahmad79 )
Hadubini (kundinyota) Kundinyota Hadubini (Microscopium) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Hawaa (kundinyota) Kundinyota Hawaa (Ophiuchus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Hayya (kundinyota) Ramani ya kundinyota Serpens au Hayya (CC BY-SA 3.0 © © 2003 Torsten Bronger)
Hudhi (kundinyota) Kundinyota Hudhi (Auriga) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Hutu Junubi (kundinyota) Kundinyota Hutu Junubi (Piscis Austrinus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Jabari (kundinyota) Kundinyota Jabari (Orion) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Jitu jekundu Nyota jitu jekundu Dabarani, ikilinganishwa na Jua (Mysid © PD)
Johannes Kepler Taswira ya Kepler (1610) (mchoraji hajulikani) © PD)
Jua Muundo wa Jua (HeNRyKus © PD)
Kaa (kundinyota) Nyota za Kaa, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Kantarusi (kundinyota) IAU Centaurus chart (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
Kasi ya Masakini (kundinyota) Kundinyota Kasi ya Masakini (Corona Borealis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kasoko Barringer Meteor Crater, Marekani (D. Roddy, U.S. Geological Survey © PD)
Ketusi (kundinyota) Kundinyota Ketusi (Cetus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kifausi (kundinyota) Kundinyota Kifausi (Cepheus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kilimia Kilimia kinaonekana kama fungu la nyota angavu (Gonzalo Vicino © )
Kimondo Vimondo vinavyong'aa angani; picha imechukuliwa kwa kufungua lenzi ya kamera kwa muda wa dakika kadhaa. Mistari mirefu ni njia za vimondo viliivyowaka katika kipindi hiki. (NASA © PD)
Kimondo cha Mbozi Kimondo cha Mbozi (Gunnar Ries © CC BY-SA 2.0)
Kinyonga (kundinyota) Kundinyota Kinyonga (Chamaeleon (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kituo cha Anga cha Kimataifa Kituo cha Anga cha Kimataifa (NASA/Crew of STS-132 © PD-NASA)
Kizio astronomia Umbali wa Dunia hadi Jua ni kizio kimoja cha astronomia (https://commons.wikimedia.org/wiki/File:Kizio_astronomia.png © CC BY-SA 4.0)
Kobe (kundinyota) Kundinyota Kobe (Corona Australis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Kondoo (kundinyota) Nyota za Kondoo, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Nzi - Musca) (Sidney Hall 1825 © PD)
kundinyota 1 Nyota za Jabari (Günter Seggebäing, Coesfeld © )
kundinyota 2 Nyota za Jabari zikiunganishwa na mistari (JA Galán Baho © )
kundinyota 3 Picha ya Jabari baada ya kuunganisha nyota zake na kumwaza mtu (PD)
Kupatwa kwa Jua Aina mbili za kivuli wakati wa Kupatwa kwa Jua (Fastfission © PD)
Kupatwa kwa Mwezi Mwezi huonekana mwekundu wakati wa kupatwa (Oliver Stein © CC BY-SA 3.0)
Kuruki (kundinyota) Kundinyota Kuruki (Grus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Madhabahu (kundinyota) Nyota za kundinyota Madhabahu (Ara) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mae Jemison Mae Jamison, Mwamerika Mweusi alirushwa angani 1992 (NASA © PD-NASA)
Mapacha Nyota za Mapacha, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mara (kundinyota) Kundinyota ya Mara (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mark Shuttleworth Mark Shuttleworth kutoka Afrika Kusini kwenye ISS mwaka 2002 (NASA © PD-NASA)
Mashuke (kundinyota) Nyota za Mashuke, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mawingu ya Magellan Mawingu ya Magellan (kushoto chini), pamoja na Njia Nyeupe (P. Horálek/ESO © )
Mbuzi (kundinyota) Nyota za Mbuzi, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mbwa Mdogo (kundinyota) Kundinyota Mbwa Mdogo (Canis Minor) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mbwa Mkubwa (kundinyota) Kundinyota Mbwa Mkubwa (Canis Major) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mbwa wawindaji (kundinyota) Kundinyota Simba Mdogo na Mbwa Wavindaji ( Leo Minor / Canes Venatici) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mbweha (kundinyota) Kundinyota Mbweha (Vulpecula) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mchoraji (kundinyota) Kundinyota Mchoraji (Pictor) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Meza (kundinyota) Kundinyota ya Mesa (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mfumo wa Jua Mfumo wa Jua (Source http://www.cbc.ca/kidscbc2/the-feed/exploring-planet-ceres , Author https://www.flickr.com/photos/11304375@N07/2818891443 )
Mhindi (kundinyota) Kundinyota Mhindi (Indus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mirihi picha ya Mirihi kama ilivyochukuliwa na darubini ya anga-nje Hubble (NASA and The Hubble Heritage Team (STScI/AURA) PD © PD)
Mirihi uso Uso wa Mirihi ni jangwa (Van der Hoorn, NASA © PD)
Mizani (kundinyota) Nyota za Mizani, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Mjusi (kundinyota) Kundinyota Mjusi (Lacerta) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mke wa Kurusi (kundinyota) Nyota za kundinyota Mke wa Kurusi (Cassiopeia) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
Mkuku (kundinyota) Kundinyota Mkuku (Carina) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mlipuko Mkuu Upanuzi wa ulimwengu tangu mlipuko mkuu (Gnixon © PD)
Mng'aro wa Jua Uhusiano baina joto kwenye uso wa nyota na mng'aro wake (European Southern Observatory (ESO) © CC BY-SA 4.0 )
Mshale (kundinyota) Nyota za Mshale, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Darubini na Hadubini) (Sidney Hall 1825 © PD)
Mshtarii picha ya mshtarii kama ilivyopigwa na chombo cassin (NASA/JPL/Space Science Institute PD © PD)
Mshtarii Mshatarii na moja ya miezi yake (NASA/JPL PD © PD)
Munukero (kundinyota) Kundinyota Munukeru (Monoceros) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mwanaanga Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha space shuttle tar. 12 Juni 2006 (NASA, Astronaut Michael Edward Fossum © PD-NASA)
Mwanafarasi (kundinyota) Nyota za kundinyota Mwanafarasi (Equuleus ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Mwezi Uso wa Mwezi unajaa kasoko (阿爾特斯 , © CC BY-SA 3.0)
Mwezi mwandamo Awamu za mwezi kuanzia mwezi mwandamo (1) kupitia hilali (2), robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, mwezi mpevu (5) hadi mwezi mwandamo tena (Pamplelune © CC BY-SA 3.0)
Nahari (kundinyota) Kundinyota Nahari (Eridanus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Najari (kundinyota) Nyota za kundinyota Najari (Sculptor) (CC BY 3.0 © IAU and Sky & Telescope magazine (Roger Sinnott & Rick Fienberg) [CC BY 3.0 Sidney Hall 1825])
NASA Nembo ya NASA (NASA © PD-NASA)
Ndege wa Peponi (kundinyota) Kundinyota ya Ndege wa Pepeoni (Apus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Ndoo ( © )
Neil Armstrong Neil Armstrong, mtu wa kwanza Mwezini (NASA / Edwin E. Aldrin, Jr. © PD-NASA)
Neptuni Sayari Neptuni (Neptune) inavyoonekana na Voyager 2 (Kevin Gill from Los Angeles, CA, United States [CC BY-SA 2.0 (https://creativecommons.org/licenses/by-sa/2.0 )] © CC BY-SA 2.0)
Ngao (kundinyota) Kundinyota Ngao (Scutum) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nge (kundinyota) Nyota za Nge, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Ng'ombe (kundinyota) (Picha ya Ngombe kwenye kitabu cha Abd al-Rahman al-Sufi (903–986) © CC BY-SA 2.0 Generic)
Njia Nyeupe Njia Nyeupe inaonekana vema pasipo na mianga duniani juu ya paoneanga ya ESO, Chile (ESO/S. Brunier © CC BY-SA 4.0 )
Njiwa (kundinyota) Nyota za kundinyota Njiwa (Columba) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nukta msawazo Nukta msawazo 1-5 (EnEdC © CC BY-SA 3.0)
Nyavu (kundinyota) Kundinyota Nyavu (Reticulum) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nyoka Maji (kundinyota) Nyota za kundinyota Nyoka Maji (Hydrus) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nyota nova Mabaki ya wingu linaloendelea kupanuka tangu nyota GK Persei Farisi ilitazamiwa kuwaka kama nova mwaka 1902; picha ilipatikana kwa kuunganisha picha zilizopigwa katika upeo wa eksirei (buluu), nuru (njano) na wimbiredio (nyekundu); (X-ray: NASA/CXC/RIKEN/D.Takei et al; Optical: NASA/STScI; Radio: NRAO/VLA © PD)
Nyotamkia Njia ya nyotamkia ikizunguka jua. Mkia huelekea mbali na jua kila wakati. (NASA © PD)
Nyotamkia ya Halley Nyotamkia ya Halley mnamo 8 Machi 1986 kwa darubini (safari iliyopita ilipofikia periheli na kuwa karibu na Dunia). (NASA/W. Liller © PD)
Nywele za Berenike (kundinyota) Kundinyota Nywele za Berenike (Coma Berenices) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Nzi (kundinyota) Kundinyota Nzi (Musca) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. )Stellarium, CC BY-SA 4.0)
Obiti "Obiti ya gimba dogo (kama satelaiti au mwezi) linalozunguka gimba kubwa (kama sayari); ( © CC BY-SA 4.0 )
Obiti , Mzinga wa Newton Mfano wa "Mzinga wa Newton": kani ya velositi ""v"" inataka kulipeleka mbele mbali na mahali pake; kani ya graviti ""a"" inalivuta kuelekea gimba kubwa; tokeo lake ni obiti ya kuzunguka." (Brian Brondel © CC BY-SA 3.0)
Pampu (kundinyota) Kundinyota ya Pampu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Paoneaanga Paoneanga pa La Silla, Chile; kila jengo huwa na darubini kubwa (Hernan Fernandez Retamal, © )
Panji (kundinyota) Kundinyota Panji (Dorado) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Panzimaji (kundinyota) Kundinyota Panzimaji (Volans) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Paoneaanga Paoneanga huwa mara nyini na kuba juu ya darubini (Manuelrealiza © CC BY-SA 4.0)
Paralaksi Mfano wa paralaksi: kutegemeana na mahali pa mtazamaji kiolwa kinachotazamiwa kitaonekana mbele ya sehemu ya buluu au ya nyekundu ya mandharinyuma yake (JustinWick © CC BY-SA 4.0 )
Patasi (kundinyota) Kundinyota Patasi (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Pembemraba (kundinyota) Kundinyota Kipimapembe (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Pembetatu (kundinyota) Kundinyota Pembetatu (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Pembetatu ya Kusini (kundinyota) Kundinyota Kipimapembe (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Rakisi (kundinyota) Kiswahili: Kundinyota Rakisi (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Roketi Roketi za Kirusi aina ya Soyuz-U, huko Baikonur, Kazakistani. (NASA © PD-NASA)
Roskosmos Nembo (RKA © PD)
Saa (kundinyota) Nyota za kundinyota Saa (Horologium ) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Sagita (kundinyota) Nyota za kundinyota Sagita (Sagitta) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Salibu Salibu (Crux, Southern Cross) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Samaki (kundinyota) Nyota za Samaki, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (Sidney Hall 1825 © PD)
Sayari Sayari za mfumo wa Jua; ukubwa unaonyesha uwiano halisi kati ya sayari lakini umbali kati ya sayari hauonyeshwi. (Horst Frank © CC BY-SA 3.0)
Shaliaki (kundinyota) Nyota za Shaliaki (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Shetri (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Shimo jeusi Picha ya shimo jeusi kwenye kitovu cha Messier 87 (picha iliyounganishwa kutoka vipimo vingi) (Event Horizon Telescope © CC BY-SA 4.0)
Shuja (kundinyota) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Simba (kundinyota) Nyota za Simba, jinsi zilivyowazwa na msanii Hall (pamoja na nyota za Simba Mdogo) (Sidney Hall 1825 © PD)
Simba Mdogo (kundinyota) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Spektra Spektra ya mawimbi sumakuumeme; nuru tunaoona ni sehemu ya mawimbi haya (Kipala © CC BY-SA 4.0 )
Spektra 2 Mistari ya ufyonzaji zinaonyesha elementi zilizopo kwenye chanzo cha nuru (Stkl © PD)
Sputnik 1 Sputnik: chombo cha kwanza kilichozunguka Dunia kwenye anga-nje (NASA © PD-NASA)
Sudusi (kundinyota) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tanga (kundinyota) Kundinyota ya Tanga (Vela) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tanuri (kundinyota) Kundinyota Tanuri (Fornax) (CC BY-SA 4.1 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tausi Kundinyota ya Tausi (CC BY-SA 4.2 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Thumni (kundinyota) Kundinyota ya Tumni (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tinini (kundinyota) Kundinyota ya Tinini (Draco) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Tukani (kundinyota) Kundinyota Tukani (Tucana) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Twiga Kundinyota Twiga (Camelopardalis) (CC BY-SA 4.0 © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Ugasumaku Ugasumaku wa Dunia ni kinga dhidi ya mnururisho mkali kutoka Jua (NASA © PD-NASA)
Ukabu (kundinyota) : Kundinyota ya Ukabu (Aquila) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Ukanda wa asteroidi Ukanda wa asteroidi baina ya obiti za Mirihi na Mshtarii (Mdf © PD)
Ukanda wa Kuiper Ugawaji wa magimba ya ukanda wa Kuiper (nukta kijani) *Nyekundu = Jua *Buluu-kijani = Sayari jitu za gesi *Kijani = Ukanda wa Kuiper *Kichungwa = magimba mbalimbali yaliyotawanyika *Dhambarau = Watroia wa Mshtarii *Njano = Watroia wa Neptuni Namba zinadokeza umbali kwa AU ( © )
Unajimu Zodiaki ya Kiarabu (Max Planck Digital Library © PD)
Uranus Sayari Uranus inavyoonekana na Voyager 2 (Kevin Gill from Los Angeles, CA, United States [CC BY-SA 2.0 (https://creativecommons.org/licenses/by-sa/2.0 )] © CC BY-SA 2.0)
Usafiri wa anga-nje Mwanaanga kazini pasipo na graviti kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (NASA © PD-NASA)
Utaridi Sayari Utaridi (Mercury) (NASA/Johns Hopkins University Applied Physics Laboratory/Carnegie Institution of Washington PD © PD)
Valentina Tereshkova Meja Valentina Tereshkova kutoka Urusi alikuwa mwanaanga wa kwanza wa kike (RIA Novosti archive, image #612748 / Alexander Mokletsov / © CC-BY-SA 3.0)
Venera Venera 7: kifaa cha kwanza kilichotua kwenye uso wa sayari nyingine (Stanislav Kozlovskiy © CC BY-SA 4.0)
Vostok vostok 1: chombo cha kwanza kilichompeleka mtu kwenye anga-nje (stempu ya Azerbaijan) (Kh. Mirzoyev./Azermarka © PD Azerbaijan)
Voyager 1 Voyager 1, chomboanga cha kwanza kilichotoka nje ya Mfumo wa Jua (NASA © PD-NASA)
Washaki (kundinyota) : Kundinyota Washaki (Lynx) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Yuri Gagarin Yuri Gagarin, mtu wa kwanza kwenye anga-nje (RIA Novosti © CC BY-SA 3.0 )
Zohali Zohali na pete zake, zilivyoonekana kwa kamera ya Voyager 2 (Voyager 2 PD © PD)
Zoraki (kundinyota) Kundinyota Zoraki (Phoenix) ([CC BY-SA 4.0] © 2004-2016 Fabien Chereau et al. Stellarium)
Zuhura Picha ya rada inaonyesha uso wa Zuhura (NASA © PD)
Zuhura Mwonekano wa kawaida wa Zuhura; mawingu hufunika uso wake (NASA © PD)