One Day in Your Life
Mandhari
One Day in Your Life | |||||
---|---|---|---|---|---|
Compilation album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 25 Machi 1981 | ||||
Imerekodiwa | 1973-1975 | ||||
Aina | Soul | ||||
Urefu | 33:58 | ||||
Lebo | Motown | ||||
Mtayarishaji | Watayarishaji mbalimbali | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
One Day in Your Life ni jina la kutaja albamu ya nyimbo kali kadhaa za Michael Jackson. Ingawa albamu haikuwa katika orodha ya matoleo ya albamu rasmi. Albamu hii inachukua nyimbo za mwaka wa 1973 hadi 1975, lakini ilikuwa kutolewa na studio ya Motown Records mnamo mwaka wa 1981.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]# | Jina | Mtunzi (wa) | Urefu |
---|---|---|---|
1. | "One Day in Your Life" | Renée Armand, Sam Brown | 4:15 |
2. | "Don't Say Goodbye Again" | Pam Sawyer, Leon Ware | 3:27 |
3. | "You're My Best Friend, My Love" | Sam Brown, Christine Yarian | 3:25 |
4. | "Take Me Back" | Edward Holland, Jr., Brian Holland | 3:24 |
5. | "We've Got Forever" | Elliot Willensky | 3:12 |
6. | "It's Too Late to Change the Time" | Pam Sawyer, Leon Ware | 3:57 |
7. | "You Are There" | Sam Brown, Rand Meitzenheimer, Christine Yarian | 3:22 |
8. | "Dear Michael" | Hal Davis, Elliot Willensky | 2:36 |
9. | "I'll Come Home to You" | Freddie Perren, Christine Yarian | 3:02 |
10. | "Make Tonight All Mine" | Freddie Perren, Christine Yarian | 3:18 |
Kibao Kilichoshika Chati
[hariri | hariri chanzo]- "One Day In Your Life" - #55 Pop Singles Chart; #42 Soul Singles Chart; #1 UK Pop Chart
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu One Day in Your Life kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |