Soko la Hisa la Nigeria
Soko la Hisa la Nigeria lilianzishwa mwaka wa 1960. Hadi 9 Machi 2007, kampuni 283 zilikuwa zimeorodheshwa na jumla ya mitaji ya soko ya karibu trilioni N15 (bilioni $ 125). Nyimbo zote zimejumuishwa katika index iliyopo peke, ya soko hili, "All Share Index".
Operesheni
[hariri | hariri chanzo]Soko hili lina mfumo wa kujiendesha wa kuendeshea biashara Data ya makamppuni yaliyoorodheshwa huchapishwa kila siku, kila wiki, kila mwezi, robo mwaka na mwaka.
Siku na nyakati za biashara katika soko la hisa la Lagos ni kutoka Jumaatatu hadi Ijumaa, 11:00-13:00. Mashtaka ni pamoja na 3% ya faida ya biashara ya hisaa na 1% ya "Securities" na ada ya Tume ya kubadilisha. Kodi ya kutol riba inabakia ifikapo 10%; kampuni ya kodi ya mapato, 35%, mtaji yaliyopatikana kodi, 10%.
Ili kuhamasisha uwekezaji wa kigeni nchini Nigeria, serikali ina sheria ya kuzuia kukomeshwa kwa mtiririko wa mitaji ya kigeni ndani ya nchi. Hii inawezesha mabroka wa kigeni kwa enlist kuorodheshwa kama wafanyabiashara katika soko la hisa la Nigeria na wawekezaji kutoka nchi yoyote wana huru ya kuwekeza. Makampuni ya Nigeria pia yanaruhusiwa yanaruhusiwa kujiorodhesha katika soko ya kimataifa.
Vyama
[hariri | hariri chanzo]soko la hisa la Lagos ni mwanachama mshiriki wa " |- | Moi || translated by Alex Wafula, from World Federation of Exchangen" (FIBV). Pia ni mtahini katika mikutano ya Kimataifa ya "International Organizatons of Securities Commission" (IOSCO), na mwanachama wa kimsingi wa African Stock Exchanges Association (ASEA) yaani,Shirika la soko za hisa barani Afrika .
Baraza
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 6 Agosti 2009 baraza jipya ya wanachama wa NSE waliteuliwa Rais Alhaji Aliko Dangote, CON Makamu wa Rais Chifu wa 1 Reginald Abbey-Hart, JP Makamu wa Rais wa 2 Dk Erasto BO Akingbola, MON
Angalia Pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti Rasmi Archived 6 Januari 2010 at the Wayback Machine.
- (Kiingereza) Proshare: Matangazo mapya ya NSE
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soko la Hisa la Nigeria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |