Nenda kwa yaliyomo

Thelonious Monk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thelonious Monk
Theolonious, akiwa mjini New York, mnamo 1947
Theolonious, akiwa mjini New York, mnamo 1947
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Thelonious Sphere Monk
Amezaliwa (1917-10-10)Oktoba 10, 1917
Kazi yake Mwimbaji
Ala Piano
Miaka ya kazi 1940–1973[1]
Studio Columbia Records
Ame/Wameshirikiana na Milt Jackson, Miles Davis, Sonny Rollins, Oscar Pettiford, John Coltrane, Art Blakey
Tovuti monkzone.com

Thelonious Monk (10 Oktoba 191717 Februari 1982) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Alikuwa anapiga muziki ya jazz. Mwaka wa 2006 alituzwa tuzo maalumu ya Tuzo ya Pulitzer ya Muziki kwa kazi ya maisha yake, yaani baada ya kifo chake.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thelonious Monk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Yanow, Scott. "Thelonious Monk". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2012-03-31.