Usimoni
Mandhari
Usimoni ni dhambi ya kuuza au kununua vitu vitakatifu au nafasi ya uongozi katika Kanisa kama alivyotaka kufanya Simoni Mchawi kadiri ya Matendo ya Mitume (8:9-24).
Dhambi hiyo imelaumiwa kuanzia karne ya 5 lakini ilizidi kutokea katika karne ya 9 na ya 10[1].
Hadi leo Sheria za Kanisa zinakabili tatizo hilo kwa kubatilisha uteuzi na kuadhibu wahusika[2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Clashfern, Lord Mackay of, mhr. (2002), Halsbury's Laws of England, juz. la 14 (tol. la 4th) "Ecclesiastical Law", 832 'Penalties and disability on simony'; 1359 'Simony' (see also current updates)
- Smith, W. (1880). "Simony". A Dictionary of Christian Antiquities: Being a Continuation of the 'Dictionary of the Bible'. J.B. Burr Pub. Co.. https://archive.org/details/adictionarychri04cheegoog.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Thomas Aquinas. "Summa Theologica: Simony (Secunda Secundae Partis, Q. 100)". New Advent. Iliwekwa mnamo 21 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Usimoni kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |