Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Chlef

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Chlef, Algeria
Jimbo la Chlef
ولاية الشلف

Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Chlef
Kodi ya Jimbo 2
Kodi ya Eneo +213 (0) 27
Ngazi ya Utawala
Wilaya 13
Manispaa 35
Liwali Mr. Mohamed El Ghazi
Rais wa Bunge Mohamed Meheni (FLN)
Takwimu za Msingi
Eneo 4,975 km² (1,921 sq mi)
Idadi ya wakazi 1,013,718[1] (2008)
Density 203.8/km² (527.7/sq mi)

Chlef (kwa Kiarabu:| الشلف ash-shlef) ni wilaya mojawapo ya Algeria. Takriban watu milioni 1 wanaishi jimboni hapa.

Mji mkuu ni Chlef. Wilaya yake ya karibu ni Ténès, ambayo ipo kwenye eneo la Bahari ya Mediteranea.

Mgawanyiko wa kiutawala jimboni hapa

[hariri | hariri chanzo]

Imegawanyika katika tarafa 13 na manispaa 35. Tarafa zake ni:

  1. Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Chlef kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.