Nenda kwa yaliyomo

Yoana mke wa Kuza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Kiorthodoksi ya Yoana na kichwa cha Yohane Mbatizaji.

Yoana (kwa Kigiriki: Ἰωάννα γυνὴ Χουζᾶ au Ἰωάνα [1][2]) alikuwa mke wa Kuza, waziri wa Herode Antipa[3].

Alikuwa ameponywa na Yesu Kristo akawa mfuasi wake katika safari akimtegemeza kiuchumi yeye na wafuasi wengine (Lk 8:2-3).

Anatajwa kati ya wanawake waliowahi kwenda kaburini Jumapili asubuhi na mapema na kuona liko wazi (Lk 24:10)[4].

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Mei[5] au 3 Agosti[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Luke 24:10: Westcott and Hort, The New Testament in the Original Greek/Nestle-Aland Novum Testamentum Graece, 27th edition variants, accessed 9 February 2017
  2. Douglas, J. D. and Tenney, Merrill C., Zondervan Illustrated Bible Dictionary (2011), p. 742. ISBN 0310229839
  3. Hastings, Adrian. Prophet and witness in Jerusalem: a study of the teaching of St. Luke, (London; New York: Longmans, Green, 1958), p.38
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92686
  5. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN 88-209-7210-7
  6. Philip H. Pfatteicher New Book of Festivals and Commemorations. Page 376. 2008.
  • Bauckham, Richard J., Gospel Women (Grand Rapids, Mich.: Eerdmans, 2002), pp. 109–202.
  • Witherington, Ben, III, "Joanna: Apostle of the Lord — or Jailbait?", Bible Review, Spring 2005, pp. 12–14+

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yoana mke wa Kuza kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.