Nenda kwa yaliyomo

kumba

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

kumba (wingi makumba)

  1. kuti la mnazi lililofumwa pamoja ili litumike kama paa

Tafsiri

[hariri]