Barbadosi
Barbados ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi takriban 430 km kaskazini.- mashariki ya Venezuela (Amerika Kusini).
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "Pride and Industry" | |||||
Wimbo wa taifa: In Plenty and In Time of Need | |||||
Mji mkuu | Bridgetown | ||||
Mji mkubwa nchini | Bridgetown | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Parliamentary democracy Constitutional monarchy Malkia Elizabeth II Clifford Husbands David Thompson | ||||
Uhuru kutoka Uingereza |
30 Novemba 1966 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
431 km² (ya 199) Kidogo sana | ||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
279,254 (ya 180) 647/km² (ya 15) | ||||
Fedha | Barbados dollar ($) (BBD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .bb | ||||
Kodi ya simu | +1-246
- |
Nchi jirani za karibu kuvukia bahari ni Saint Lucia na Saint Vincent upande wa magharibi, Trinidad na Tobago upande wa kusini na Grenada upande wa kusini-magharibi. Barbados ni kisiwa cha Antili Ndogo.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Barbadosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |