Nenda kwa yaliyomo

Orinoco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:18, 22 Aprili 2015 na Dexbot (majadiliano | michango) (Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mto wa Orinoco
Daraja juu ya mto wa Orinoco karibu na mji wa Ciudad Bolivar (Venezuela)
Daraja juu ya mto wa Orinoco karibu na mji wa Ciudad Bolivar (Venezuela)
Chanzo Milima ya Parima mpakani wa Venezuela na Brazil
Mdomo Bahari ya Karibi (Atlantiki)
Mdomo wa pili: kupitia mto wa Amazonas
Nchi za beseni ya mto Venezuela, Kolombia
Urefu 2,140 km
Kimo cha chanzo 1,047 m
Kiasi cha maji kinachotolewa mdomoni 33,000 m³/s kwa wastani
Eneo la beseni (km²) 953 600 km²

Mto Orinoco ni kati ya mito mikubwa kabisa ya Amerika ya Kusini mwenye urefu wa 2,410 km.

Ni mto wa pekee kwa sababu una midomo miwili tofauti: njia kuu ya maji huelekea kwenye delta ya mto katika bahari ya Karibi. Lakini mkono mmoja unafikisha sehemu ya maji yake katika mto wa Amazonas.

Delta ya Orinoco ilikuwa mahali ambako Kristoforo Kolumbus alikanyaga mara ya kwanza bara la Amerika mwaka 1498.

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Orinoco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.