1985
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1981 |
1982 |
1983 |
1984 |
1985
| 1986
| 1987
| 1988
| 1989
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1985 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1985 - Shirika la Bidhaa Pepe Huru lilianzishwa na Richard Stallman kutoka nchi ya Marekani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 2 Februari - Dennis Oliech, mchezaji wa mpira kutoka Kenya
- 5 Februari - Cristiano Ronaldo, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
- 7 Februari - Tegan Moss, mwigizaji kutoka Kanada
- 9 Februari - Emmanuel Adebayor, mchezaji wa mpira kutoka Togo
- 17 Februari - Anne Curtis, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino na Australia
- 31 Machi - Mr Puaz, mwanamuziki wa Tanzania
- 6 Mei - Faraja Kotta, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2004
- 4 Agosti - Antonio Valencia, mchezaji mpira kutoka Ekwador
- 22 Agosti - Jimmy Needham, mwanamuziki kutoka Marekani
- 31 Agosti - Eddie Anaclet, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
- 30 Septemba - T-Pain, mwanamuziki kutoka Marekani
- 28 Oktoba - Wayne Rooney, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 14 Novemba - Thomas Vermaelen, mchezaji mpira wa Ubelgiji
- 16 Novemba - Aminata Niaria, mwanamitindo kutoka Senegal
- 29 Desemba - Kassim Bizimana, mchezaji mpira kutoka Burundi
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 28 Februari - Ferdinand Alquié, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 17 Mei - Abe Burrows, mwandishi kutoka Marekani
- 16 Julai - Heinrich Boll, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1972
- 31 Agosti - Frank Burnet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 6 Septemba - Rodney Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972
- 8 Septemba - John Enders, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 9 Septemba - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
- 1 Oktoba – Elwyn Brooks White, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1978
- 10 Oktoba - Yul Brynner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: